Kwa mujibu wa Katiba ya ACT Wazalendo, Zitto Kabwe na Maalim Seif siyo Wanachama tena

Kwa mujibu wa Katiba ya ACT Wazalendo, Zitto Kabwe na Maalim Seif siyo Wanachama tena

Tuseme tu ukweli Zitto AMEBUGI.
Ni Kama kumdhalilisha Membe..
 
People of Tanzania we should know that we are slaves in our own country, so the only opportunity we have now is to change the whole system by having our own powers.
People's power
 
Leta ya ACT, Zitto mwenzio kanyamaza kimya
Ibara ya 5 tu bila kuathiri maana, tayari ina makosa mawili ya kiuandishi na yameandikwa hivi;
1. atakayesimamoshwa badala ya atakayesimamishwa
2. mashart badala ya masharti

Je hii ni katiba ya ACT kweli!
 
Umeiona hiyo katiba ya ACT WAZALENDO?

Tatizo la wafuasi wa CHADEMA ni KUJIONA WAKO SAHIHI KWA KILA KITU.

Na ukiwapinga wanakuona HUNA AKILI.
Kwa akili hizo hustahili kuwa na Avatar ya akili kubwa Prof Assad
 
Ndugu zangu,

Katiba ya ACT Wazalendo inapinga mwanachama kumuunga mkono mgombea asiye mwanachama wa ACT.

Fuatilia mwenyewe hapa chini,Bernard Membe akitumia vema turufu anaweza kuwavua uanachama hawa "wavamizi" ndani ya ACT.View attachment 1606498
Zitto Kabwe ambao hamumwelewi hakuna mahali alipoenda kufanya kazi akapaacha salama, yeye kazi yake ni kusaliti tu.
1. Aliitasiliti Chadema na Mbowe.

2. Aliisaliti nchi na Wananchi Wananchi wote.

3. Ameisaliti Katiba iliyoipa nguvu Act wazalendo kusajiliwa na msajili wa Vyama vya siasa.

4. Aliwasaliti Madiwani wote wa Manispaa ya Kigoma ujiji akiwa Mbunge alipewa Rushwa Milioni 800 kwa ajili ya kuwagawia Madiwani wa Act wazalendo zote alizihifadhi kwenye akaunti ya Mke wake aitwaye Anna, na ndizo anazozitumia kutoa rushwa.

5. Aliisaliti Kigoma aliandika andiko la kuikataa Miradi ya Barabara iliyojengwa Manispaa ya Kigoma ujiji ( Lakini JPM alimtandika za Uso Uso saizi Kigoma kuchele Mambo ni saafi).

6. Zitto Kabwe aliwasaliti ndugu zake, kwenye ukoo wao Hakuna kitu kinaitwa Mwami (Hana sifa hizo kwa mila za Kiha, ), ndugu zake walimkataa na wengi amewafanya ndondocha mmoja mpaka amekuwa Mwizi mpaka anajiibia na Mwenyewe ( Aliiba Milango ya nyumba yao pale Mwanga Mwanga saizi kama pagala).

7. Zitto Kabwe amewasaliti Wafuasi wake aliowahonga kumpokea alivyotoka Matibabu ( Kuna Dogo Bodaboda mpaka amesaidiwa na KIRUMBE Ng'enda na Zitto Kabwe baada ya Kusikia KIRUMBE amemsaidia katoka mbio kwenda kupooza, na anampango wa kumuondoa Kigoma na kwenda kumtelekeza Dar es salaam Muhimbili - Ndugu zake Bodaboda kuweni Makini na huyo Mshirikina Kabwe.
 
Nenda kawashtaki sasa
Katiba ACT wazalendo imeshawashtaki kinachosubiriwa maamuzi ya msajili wa vyama vya siasa , NEC na ZEC


1603255557578.png
 
Jasusi ameshistukiwa, kashakula Mpunga kutoka kwa JIWE, mwambie mtu wako hata akifanya kampeni hawezi kupunguza kura za Lissu, yeye kwa sasa ni ligi ndogo, Maalim kashasema uchaguzi ukifanyika atazidiwa kura na "MZEE WA UBWABWA".
Kinachoongelewa hapa sio Jasusi acha kuruka ruka tunaongelea kipengele hiki cha katiba kilichowavua uanachama Zitto Kabwe na Maalim Seif kuwa sio wanachama tena na sio wagombea na viongozi tena Wa ACT wazalendo sababu sio wanachama wa ACT WAZALENDO

1603256910662.png
 
Kinachoongelewa hapa sio Jasusi acha kuruka ruka tunaongelea kipengele hiki cha katiba kilichowavua uanachama Zitto Kabwe na Maalim Seif kuwa sio wanachama tena na sio wagombea na viongozi tena Wa ACT wazalendo sababu sio wanachama wa ACT WAZALENDO

View attachment 1606931
Hakuna katiba iliyovunjwa na Zitto wala Maalim, huo ni mtizamo wako! Anayevunja katiba ni Mtu wenu fulani huko kwenye chama chenu.
 
Hivyo vyama ni magarasa tu, mwenye chama yupo juu ya katiba. Hivi vyama vya mifukoni mwisho wake Oct 28.
 
Umekitafakari vizuri hicho kifungu? Kinazungumzia mwananchama wa ACT badala ya ACT Wazalendo ya akina Maalim na Zitto...
Makinika!
 
Katiba ACT wazalendo imeshawashtaki kinachosubiriwa maamuzi ya msajili wa vyama vya siasa , NEC na ZEC


View attachment 1606913
Hizo allegations zimepelekwa wapi na lini zimefungiliwa?

Kamati ya chama chao ilikutana na kuamua waliyoamua. Je, kamati hiyo si ndiyo yenye mamlaka ya kutengua kipengele chochote cha katiba yao? na kama walikutana je ni makosa kuja na hoja inayokinzana na katiba yao wenyewe?
 
Back
Top Bottom