Kwa mujibu wa maandiko na historia ndugu wa karibu na bana Israeli ni uzao wa watoto na wajukuu na vitukuu wa Esau na siyo Ishmael

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Mheshimiwa moderator naomba Uzi huu uache ujitegemee wenyewe tafadhali

Wadau na wapendwa wote ndani ya jukwaa letu huru kabisa nawasalimu nyote

Niwakumbushe kuwa kwa mujibu wa maandiko matakatifu Ndugu wa karibu wa bana Israel au mayahudi ni watoto au uzao wa Esau.

Israel na Esau ni watoto mapacha Esau akitangulia na baba yao akiitwa Isaka Mama yao akiitwa Rebeka

Nimeona niwakumbushe suala hili Ili kuweka kumbukumbu zetu za kihistoria sawa na kuepusha upotoshaji

Nihitimishe kuwa Mayahudi ndugu zao wa karibu ni uzao wa Esau

Mbarikiwe sana
 
Nimeona niwakumbushe suala hili Ili kuweka kumbukumbu zetu za kihistoria sawa na kuepusha uporoshaji

Mbarikiwe sana
Kwahiyo wewe watoto wa baba yako mkubwa sio ndugu zako?
 
Kwanin usiende kule Gaza kuwakumbusha, Hilo....
sisi tunatafuta za kwetu hapa na hatuzipati we unang'ang'ania za huko Israel

.Unazijua za malkia wa nyuki huko Singida?

.Unazijua za Dragon (dege kubwa na joka) ambalo lilikuwepo Dodoma.

Unazijua za mtu alieanzisha ala nzuri za mziki zinazopigwa na kabila la wagog
 
Hoja yangu siyo hiyo
 
Africa inasafari ndefu ya ukombozi wa kifikra kwa akili hizi ndio maana sio ajabu kukuta mtu kajisadia haja kubwa sehemu za wazi kabisa🤔
 
Vipi historia yako na ya mababu zako unaijua vizuri.

Honor your ancestors, they will honor you.
 
Namimi naomba niweke kumbukumbu sawa sawa, kuwa
Israel ni kati ya Nchi Duniani ambayo haina Wakristo (haina wafuasi wa Yesu)
Ulitakiwa ufungue Uzi wako siyo kupachika kwenye wazo la mwenzio
 
Mheshimiwa moderator naomba Uzi huu uache ujitegemee wenyewe tafadhali

Wadau na wapendwa wote ndani ya jukwaa letu huru kabisa nawasalimu nyote

Niwakumbushe kuwa kwa mujibu wa maandiko matakatifu Ndugu wa karibu wa bana Israel au mayahudi ni watoto au uzao wa Esau.

Israel na Esau ni watoto mapacha Esau akitangulia na baba yao akiitwa Isaka Mama yao akiitwa Rebeka

Nimeona niwakumbushe suala hili Ili kuweka kumbukumbu zetu za kihistoria sawa na kuepusha upotoshaji

Nihitimishe kuwa Mayahudi ndugu zao wa karibu ni uzao wa Esau

Mbarikiwe sana
Wewe ni uzao wa nani?
 
Back
Top Bottom