Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Mheshimiwa moderator naomba Uzi huu uache ujitegemee wenyewe tafadhali
Wadau na wapendwa wote ndani ya jukwaa letu huru kabisa nawasalimu nyote
Niwakumbushe kuwa kwa mujibu wa maandiko matakatifu Ndugu wa karibu wa bana Israel au mayahudi ni watoto au uzao wa Esau.
Israel na Esau ni watoto mapacha Esau akitangulia na baba yao akiitwa Isaka Mama yao akiitwa Rebeka
Nimeona niwakumbushe suala hili Ili kuweka kumbukumbu zetu za kihistoria sawa na kuepusha upotoshaji
Nihitimishe kuwa Mayahudi ndugu zao wa karibu ni uzao wa Esau
Mbarikiwe sana