Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Ndo nini hikiuporoshaji
Well saidNamimi naomba niweke kumbukumbu sawa sawa, kuwa
Israel ni kati ya Nchi Duniani ambayo haina Wakristo (haina wafuasi wa Yesu)
kwani ikiwa Haina wakristo ndio Nini? kwani mnaiunga mkono taifa lolote kwa kigezo iwe na watu wa dini yenu au mnaangalia ukweli na hakiNamimi naomba niweke kumbukumbu sawa sawa, kuwa
Israel ni kati ya Nchi Duniani ambayo haina Wakristo (haina wafuasi wa Yesu)
Kwahiyo wewe watoto wa baba yako mkubwa sio ndugu zako?Mheshimiwa moderator naomba Uzi huu uache ujitegemee wenyewe tafadhali
Wadau na wapendwa wote ndani ya jukwaa letu huru kabisa nawasalimu nyote
Niwakumbushe kuwa kwa mujibu wa maandiko matakatifu Ndugu wa karibu wa bana Israel au mayahudi ni watoto au uzao wa Esau.
Israel na Esau ni watoto mapacha Esau akitangulia na baba yao akiitwa Isaka Mama yao akiitwa Rebeka
Nimeona niwakumbushe suala hili Ili kuweka kumbukumbu zetu za kihistoria sawa na kuepusha uporoshaji
Mbarikiwe sana
Hoja yangu siyo hiyoKwanin usiende kule Gaza kuwakumbusha, Hilo....
sisi tunatafuta za kwetu hapa na hatuzipati we unang'ang'ania za huko Israel
.Unazijua za malkia wa nyuki huko Singida?
.Unazijua za Dragon (dege kubwa na joka) ambalo lilikuwepo Dodoma.
Unazijua za mtu alieanzisha ala nzuri za mziki zinazopigwa na kabila la wagog
Mfahamu hilo na muache kupotoshaKwahiyo sisi vitukuu tufanyaje?
UpotoshajiNdo nini hiki
Hoja yako iweke wazi, unatoa HiSTORIA ya Israel, ukiulizwa ya kwenu huifaham!!Hoja yangu siyo hiyo
OkUpotoshaji
Umekremu vibaya!Namimi naomba niweke kumbukumbu sawa sawa, kuwa
Israel ni kati ya Nchi Duniani ambayo haina Wakristo (haina wafuasi wa Yesu)
Ulitakiwa ufungue Uzi wako siyo kupachika kwenye wazo la mwenzioNamimi naomba niweke kumbukumbu sawa sawa, kuwa
Israel ni kati ya Nchi Duniani ambayo haina Wakristo (haina wafuasi wa Yesu)
Hunielewi wewe wenzako wananielewaHoja yako iweke wazi, unatoa HiSTORIA ya Israel, ukiulizwa ya kwenu huifaham!!
Unatufanya tushindwe kukuelewa mkuu
Wewe ni uzao wa nani?Mheshimiwa moderator naomba Uzi huu uache ujitegemee wenyewe tafadhali
Wadau na wapendwa wote ndani ya jukwaa letu huru kabisa nawasalimu nyote
Niwakumbushe kuwa kwa mujibu wa maandiko matakatifu Ndugu wa karibu wa bana Israel au mayahudi ni watoto au uzao wa Esau.
Israel na Esau ni watoto mapacha Esau akitangulia na baba yao akiitwa Isaka Mama yao akiitwa Rebeka
Nimeona niwakumbushe suala hili Ili kuweka kumbukumbu zetu za kihistoria sawa na kuepusha upotoshaji
Nihitimishe kuwa Mayahudi ndugu zao wa karibu ni uzao wa Esau
Mbarikiwe sana