Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kifupi anahitaji ukombozi ktk ulimwengu wa kiroho ama kupitia nguvu za Kimungu au za kuzimu.Andika tu mkuu,uzi hauna limit ya michango
Inasemekana kwamba pale jukwaa lilipoanguka ndo shimo/kaburi,na kilichotoka pale nï kivuli au msukule,ila diamond tayari yuko kuzimu sumbawanga
Hii ni tafsiri ya waganga maarufu,na inadaiwa hirizi zake zilipasuka au kupotea
Mpaka atokee mtaalam wa kumfufua kwa kuwa kishirikina bado kazikwa japo anajiona mzima
Mshana atakupa ushirikiano Wa nguvu kwenye hiliKwa nini mkuu? Hili jambo kubwa tumsaidie mtanzania mwenzetu
Maneno ya busara sanaKwa hiyo mnaunganisha tena na ile chain ikiyoibiwa Mtwara? Wako waliosema ilikuwa na ndumba pia. Mimi sijui maana kwetu hakuna mambo haya. Ila niseme tu machache kuwa ni vyema pia akumbuke haya:
1. Ni juzi ametoka kumtukana mtu mzima mtumishi ATCL anatakiwa kujitafakari sana.
2. Ni juzi tu amekuwa nahesabu pesa kwa madaharau akiwa na huyo Tanasha bibi mpya anatakiwa kujitafakari.
3. Amechezea wanawake wazuri mno na kuwadhalilisha baadaye. Hii ni kwa sababu ya Nguvu ya Pesa. WANAWAKE hao hata kama wana move on but bado mioyo yao imejeruhiwa na wengine wameshataki kwa Mungu - ajitafakari pia.
4. Nilivyofundishwa Mimi ni kwamba wako wanawake/wanaume wa Baraka. Kuna ambao ukioa ni Mikosi tu na mwishowe utafilisika. Ajiangalie upya na mahusiano mapya hayo.
5. Ana mahusiano mabaya na baba Mzazi. Hapo juzi kati aliomba hata amkatie bima ya afya tu. Ajitafakari hapa.
Kifupi Maadui wa Mondi wako wengi mno na mbaya zaidi usicheze na SERIKALI.
Kila la heri Mondi ila uwe makini mno. Kuna Rise and Fall. Ni kazi ngumu sana kupanda ila it is a matter of minutes to fall and breaks completely.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]falla wewe,kama kweli vile kumbe umelewa.
Hakuna uchawi hapo,ubovu wa jukwaa na kutokuzingatia resonant frequency.Hii ni tafsiri ya waganga maarufu,na inadaiwa hirizi zake zilipasuka au kupotea
Mpaka atokee mtaalam wa kumfufua kwa kuwa kishirikina bado kazikwa japo anajiona mzima
Matter of time kuna watu walikuwa wanafanya zaidi ya hayo kwa sasa hawapo kwenye ramani kabisa.Kwa hiyo mnaunganisha tena na ile chain ikiyoibiwa Mtwara? Wako waliosema ilikuwa na ndumba pia. Mimi sijui maana kwetu hakuna mambo haya. Ila niseme tu machache kuwa ni vyema pia akumbuke haya:
1. Ni juzi ametoka kumtukana mtu mzima mtumishi ATCL anatakiwa kujitafakari sana.
2. Ni juzi tu amekuwa nahesabu pesa kwa madaharau akiwa na huyo Tanasha bibi mpya anatakiwa kujitafakari.
3. Amechezea wanawake wazuri mno na kuwadhalilisha baadaye. Hii ni kwa sababu ya Nguvu ya Pesa. WANAWAKE hao hata kama wana move on but bado mioyo yao imejeruhiwa na wengine wameshataki kwa Mungu - ajitafakari pia.
4. Nilivyofundishwa Mimi ni kwamba wako wanawake/wanaume wa Baraka. Kuna ambao ukioa ni Mikosi tu na mwishowe utafilisika. Ajiangalie upya na mahusiano mapya hayo.
5. Ana mahusiano mabaya na baba Mzazi. Hapo juzi kati aliomba hata amkatie bima ya afya tu. Ajitafakari hapa.
Kifupi Maadui wa Mondi wako wengi mno na mbaya zaidi usicheze na SERIKALI.
Kila la heri Mondi ila uwe makini mno. Kuna Rise and Fall. Ni kazi ngumu sana kupanda ila it is a matter of minutes to fall and breaks completely.
Mchawi akiingia kwako usiku,ndani ya nyumba,haimaanishi nyumba yako ina nyufa au umelala mlango wazi,maana ya neno sumbawanga ni kwamba tupa uchawi wako kabla hujaingia ndani ya mji wa sumbawanga,yeye kwa kiburi na dharau kaenda nao,aombe wazee wamtoe kuzimuHakuna uchawi hapo,ubovu wa jukwaa na kutokuzingatia resonant frequency.
Sawa mkuu.Mchawi akiingia kwako usiku,ndani ya nyumba,haimaanishi nyumba yako ina nyufa au umelala mlango wazi
Mkuu maneno kuntu hayoKwa hiyo mnaunganisha tena na ile chain ikiyoibiwa Mtwara? Wako waliosema ilikuwa na ndumba pia. Mimi sijui maana kwetu hakuna mambo haya. Ila niseme tu machache kuwa ni vyema pia akumbuke haya: