Kwa mujibu wa maoni ya waganga hapa Sumbawanga, kuanguka kwa Dïamond ni ishara ya kuzikwa nyota kichawi

Hamna kitu kibaya kama kuchezea mioyo ya watu...watu wengi wakilalamik juu yako hio ni tosha kukufungia milango ya baraka kwako kwa Mungu. Jamaa ana msululu wa watu wanaolalamika. Wala sio uchawi
 
Kwa hiyo mnaunganisha tena na ile chain ikiyoibiwa Mtwara? Wako waliosema ilikuwa na ndumba pia. Mimi sijui maana kwetu hakuna mambo haya. Ila niseme tu machache kuwa ni vyema pia akumbuke haya:

1. Ni juzi ametoka kumtukana mtu mzima mtumishi ATCL anatakiwa kujitafakari sana.

2. Ni juzi tu amekuwa nahesabu pesa kwa madaharau akiwa na huyo Tanasha bibi mpya anatakiwa kujitafakari.

3. Amechezea wanawake wazuri mno na kuwadhalilisha baadaye. Hii ni kwa sababu ya Nguvu ya Pesa. WANAWAKE hao hata kama wana move on but bado mioyo yao imejeruhiwa na wengine wameshataki kwa Mungu - ajitafakari pia.

4. Nilivyofundishwa Mimi ni kwamba wako wanawake/wanaume wa Baraka. Kuna ambao ukioa ni Mikosi tu na mwishowe utafilisika. Ajiangalie upya na mahusiano mapya hayo.

5. Ana mahusiano mabaya na baba Mzazi. Hapo juzi kati aliomba hata amkatie bima ya afya tu. Ajitafakari hapa.

Kifupi Maadui wa Mondi wako wengi mno na mbaya zaidi usicheze na SERIKALI.

Kila la heri Mondi ila uwe makini mno. Kuna Rise and Fall. Ni kazi ngumu sana kupanda ila it is a matter of minutes to fall and breaks completely.

Kwa swaga za kitandalae kama namuona vile anasoma hii post yako,halafu anasonya bonge la sonyo.
 
Inasemekana kwamba pale jukwaa lilipoanguka ndo shimo/kaburi,na kilichotoka pale nï kivuli au msukule,ila diamond tayari yuko kuzimu sumbawanga
"Inasemekana",hili neno linaonesha umbeya,chuki juu ya kijana wa watu Diamond si msanii wa kwanza kudondoka kwenye jukwaa hata uko ulaya wasanii wanadondoka mara kibao.
 
Katika maisha yangu napendaga neno hili LIVE UR LIFE Kama Mondi Anatumia uchawi kwenye maisha yake ya mziki anajua yeye na Mungu wake na atahukumiwa na Mungu Wake....

No evidence No Right To Talk......

Quid Pro Quo 😂😂
 
Anazo,na mkosi mkubwa unakuja,mmoja wa wana WCB atakamatwa na mzigo exit point, hii itawachafua wote au kufanya wakae ndani muda mrefu,hii ni kwa mujibu wa wazee na tafsiri yao ya kudondoka shimoni pale jukwaani
Kwa mujibu wa wazee au wewe??
 
Inasemekana kwamba pale jukwaa lilipoanguka ndo shimo/kaburi,na kilichotoka pale nï kivuli au msukule,ila diamond tayari yuko kuzimu sumbawanga
Unamuonaje..bi Samira.? aka Sandra?
Itakuwa unaota mkuu
 
Kwa hiyo mnaunganisha tena na ile chain ikiyoibiwa Mtwara? Wako waliosema ilikuwa na ndumba pia. Mimi sijui maana kwetu hakuna mambo haya. Ila niseme tu machache kuwa ni vyema pia akumbuke haya:

1. Ni juzi ametoka kumtukana mtu mzima mtumishi ATCL anatakiwa kujitafakari sana.

2. Ni juzi tu amekuwa nahesabu pesa kwa madaharau akiwa na huyo Tanasha bibi mpya anatakiwa kujitafakari.

3. Amechezea wanawake wazuri mno na kuwadhalilisha baadaye. Hii ni kwa sababu ya Nguvu ya Pesa. WANAWAKE hao hata kama wana move on but bado mioyo yao imejeruhiwa na wengine wameshataki kwa Mungu - ajitafakari pia.

4. Nilivyofundishwa Mimi ni kwamba wako wanawake/wanaume wa Baraka. Kuna ambao ukioa ni Mikosi tu na mwishowe utafilisika. Ajiangalie upya na mahusiano mapya hayo.

5. Ana mahusiano mabaya na baba Mzazi. Hapo juzi kati aliomba hata amkatie bima ya afya tu. Ajitafakari hapa.

Kifupi Maadui wa Mondi wako wengi mno na mbaya zaidi usicheze na SERIKALI.

Kila la heri Mondi ila uwe makini mno. Kuna Rise and Fall. Ni kazi ngumu sana kupanda ila it is a matter of minutes to fall and breaks completely.
Kwani Dai kazaliwa peke yake na huyo baba?? mbona anamsakama sana wakati hakuwa hata na habari naye alivyokuwa mdogo?
Ana mayatizo sana huyo mzee...
Kasahau??
 
Ndiyo hivyo tena. Kaona amefanikiwa ndiyo anaona ni mtu. Ila kwa kuwa ni Mzazi amsamehe tu ampe msaada kwa kuwa uzee nao umeenda. Tena wema uende zako.
 
Hearsay Evidence Is Admissible...kwamba inasemekana sio unauhakika na hilo jambo ndio maana kusheria ushaidi wa kusikia jambo kwa Fulani haukubaliki
 
Uganga ni mtaji siku hizi kama ilivyo siasa, hivi mtoa mada unakijua unachokiropoka na uwezekano wake kutokea. Au unafungua tu uzi ilimradi uonekane upo, kiufupi haiwezekani abadani.

Hao wataalamu kama wamekweleza kweli, wamekulisha matango pori, ni kiki ya kuvuta wateja. Wanalosema haliwezekaniki.

Kama ingekuwa ni uchawi basi, upo lakini nikwambie tu hauwezi shindanisha Kigoma na Sumbawanga kwenye hizo idara
 
Hamnaga vitu kama hvyo bhana.... na aslay alipodondoka kenya ilikuwa dalili ya nini? Mbona ile ya kudondoka sumbawanga ilisababishwa na kurukaruka mpka wakalisababishia tension jukwaaa? Basi tuseme kwa lugha nyepesi... ongea nao hao wazee nawe wakupe nyota ya kufikia hata nusu ya umaarufu wa diamond....
Acheni kuropoka tu ilimradi, dogo ni haso zake binafsi na km n uchawi basi ni ule wa kujilinda kutoka kwao kigoma lakin hauhusiani na mafanikio yake... kwan wangapi wana uchawi lakin hawafikii level za diamond?
 
Kinachonishangaza kuhusu diamond ni kumbeba dudu baya, na anamtumia kumuombea mabaya ruge ikiwemo kifo!Nimejiuliza sana,kumbe ruge amemdhulumu pia diamond?
Mi nilimchukia ruge kwa kumpromote mtu aliye na kipaji cha kawaida tu kama diamond na kuwaacha baadhi ya vijana wenye vipaji vya kweli!
Ajabu Leo diamond anafurahia kuona ruge anaombewa kifo na dudu baya!Kweli ubinadamu kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee unafeli sana hapa.... hivi ruge kampromoti diamond au kipaji chake mond ndo kimembeba? Mbona hatuoni anayoyafanya mond kwa vijana waliokulia pale THT? Wakina barnaba, amini, linah, nandy, na wengine kibao... Na usinambie kuwa matangazo ya kule clouds ndo yamembust mond... ukweli ni kwamba clouds imeanza kusikilizwa sana na watu baada ya kuanza kufanya kazi na diamond... na umaarufu imeupata kipindi hichi cha mond akiwa tayari na jina... na km ukitaka uone haya niyasemayo, iangalie clouds ya leo na ile ya miaka miwili nyuma... ni tofauti kabisa. Siku hiz hakuna interview ambayo clouds watafanya ikafanya karibia nusu ya watu nchini waisubilie km kipindi kile cha mond.... Afu na kuhusu dudubaya nakataa kabisa kuwa katumwa au anatumiwa na diamond... dudubaya kuambatanishwa kwenye wasafi festival sio kigezo cha kuwa kila anachoongea basi katumwa... dudubaya alibebwa kisa ile kiki yake ya konki master ambayo wasafi waliitumia katika matangazo yao na isingekuwa busara wasimweke muasisi wa hiyo slogan...
Jitahid uwe unafikiria kidogo unapotaka kujibu kitu
 
Hamnaga vitu kama hvyo bhana.... na aslay alipodondoka kenya ilikuwa dalili ya nini? Mbona ile ya kudondoka sumbawanga ilisababishwa na kurukaruka mpka wakalisababishia tension jukwaaa? Basi tuseme kwa lugha nyepesi... ongea nao hao wazee nawe wakupe nyota ya kufikia hata nusu ya umaarufu wa diamond....
Acheni kuropoka tu ilimradi, dogo ni haso zake binafsi na km n uchawi basi ni ule wa kujilinda kutoka kwao kigoma lakin hauhusiani na mafanikio yake... kwan wangapi wana uchawi lakin hawafikii level za diamond?
Povu!
 
Back
Top Bottom