Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Tumerudi [emoji1][emoji1]Subiri watu wafupi watoke kanisani waje kukushukia kama mwewe
Vyote muhimu ila pesa itakupa utanashati na itakuongezea urefu ukiwa juu ya jeep unawainspire waviviWadau hamjamboni nyote
Hi ni kwa mujibu wa Utafiti na maoni ya wataalami wa masuala ya Kijamii
Kwamba kuna vitu vifatu muhimu kwa Mwanamume yeyote duniani ili kuongeza thamani yake na mvuto
Fedha - za kumudu mahitaji yote ya msingi na ziada
Utanashati - Uhandsome
Urefu kuanzia futi 6 kwenda juu
Inashauriwa angalao uwe na kimojawapo Kama siyo kuwa na vyote vitatu
Karibuni tujadili
Niwatakie Jumapili Njema
Mm tayari viwili bado kimoja pesa tu mambo yawe bull bullWadau hamjamboni nyote
Hi ni kwa mujibu wa Utafiti na maoni ya wataalami wa masuala ya Kijamii
Kwamba kuna vitu vifatu muhimu kwa Mwanamume yeyote duniani ili kuongeza thamani yake na mvuto
Fedha - za kumudu mahitaji yote ya msingi na ziada
Utanashati - Uhandsome
Urefu kuanzia futi 6 kwenda juu
Inashauriwa angalao uwe na kimojawapo Kama siyo kuwa na vyote vitatu
Karibuni tujadili
Niwatakie Jumapili Njema
Tumesharudi, na kwa taarifa yenu mchungaji kasema Mbinguni tutapewa mwili mpyaSubiri watu wafupi watoke kanisani waje kukushukia kama mwewe
Waulize wenzioAsa urefu una faida gani jamani [emoji1787] kwani nmeanzisha Shamba la mapensheni
Kwani wewe unaridhika kuandamana na andunje, au unakuwa umemtanguliza kwa mbele kidogo...Asa urefu una faida gani jamani [emoji1787] kwani nmeanzisha Shamba la mapensheni
Mm mpenzi wangu akinipenda tukapendana aah wabaya hawanaga nafasi [emoji23][emoji23] namshika kijeba wangu mkono tunatembea kariakoo mpaka karume mtajua hamjuiKwani wewe unaridhika kuandamana na andunje, au unakuwa umemtanguliza kwa mbele kidogo...