Jambo la kheri kuwa sherehe za nane nane zimefutwa kimya kimya.
Juzi kati Mwenge wa Uhuru ulikuwa Morogoro nao kimya kimya.
View attachment 1885518
Mambo ya mbuni yametufikisha hapa.
View attachment 1885424
---- extracts tokea kwake Zitto Kabwe.
Kwamba tunapoteza watu si chini ya 2,000/mwezi kwa Corona. Hali hii si ya kufumbiwa macho.
Wanaokufa katika hali hizi zinazoweza kuzuilika ni watu kama wewe na miye.
Kwamba hajawajibika mtu hadi leo kwa hali hii, kwa hakika haikubaliki.
Vipi ndugu zako wamepukutika wangapi mkuu?
Kumbe!!Swali lako halina mantiki.
Kumbe!!
Kama unamwamini Zitto utakuwa unamatatizo kwenye ubongo wako in such that hauwezi kuchakata mambo in other words huna akili timamu!!Ys ,non sense question..
Zitto ametoa takwimu za RITA.
2019 vifo recorded vilikuwa 35k
2020 vifo vilipanda hadi 110k (Vimepanda baada ya kuingia uviko).
Kama unamwamini Zitto utakuwa unamatatizo kwenye ubongo wako in such that hauwezi kuchakata mambo in other words huna akili timamu!!
Vipi umeshaenda kumsalimia Gaidi Mbowe Segerea?
Nchi gani ambayo haipotezi watu tuhamie huko?
Vipi ndugu zako wamepukutika wangapi mkuu?
Mbona ndogo ukilinganisha na kwa wenzetu huko kwanini umekisia kiasi kidogo hicho?Hivo ni vifo vinavyo sajiliwa serikalini, je wakijumlisha na vifo vya vijijini visivyo sajiliwa. Takwimu ya vifo inaweza ikafika hata 300 kwa siku moja.
Jombi kawaambie hayo ndege.
Sikuhitaji kwa lolote!
Ninakazia: usinitishe.
(In bold uione vizuri).
Variant mpaka sasa washakuwa watano huu ugonjwa bhnChanjo ni suluhisho kama jitihada za kuzuia variants mpya za kirusi hiki zipo na zinafanya kazi, na pia kama jitihada zina fanyika kuzuia variants mpya kuzalishwa ndani ya nchi.
Kumbuka chanjo hii inayotolewa ni mahsusi kwa variant iliyopo sasa.
Nimezika ndugu wawili wiki ya jana na wiki hii kwa corona. mmoja tumezika Ununio na makaburi yote yaliyokuwepo ni ya mwaka huu kuanzia Januari na n mengi sana. Nilijiuliza kwa nini wote wamezikwa sehemu moja hawajachanganywa na wa miaka mingine. Nikahisi labda serikali inataka takwimu. Wewe huamini nahisi hujafiwa na ndugu yeyote kw ugonjwa huu. Sisi tuliofiwa lazima tuchukue hatua. Una bahati sana. Yaani hata jirani yako hajafa kwa covid! mimi nimefiwa na majirani pia.Huna lolote wewe dalali wa machanjo.
Huku mtaani hakuna cha corona wala nini.
Mkuu sikiliza wataalamu. Covid 19 inaua especially immunity ikiwa ndogo. Mgonjwa anakuwa na immunity ndogo hivyo akipata virusi vya covid 19 kupona ni ngumu. Atapata yale matatizo ya kushambiliwa mapafu, damu kuganda, kushindwa kupumua nk. na hatimaye mgonjwa atakufa tu. Wasikilizeni wataalamu msipuuzie, ugonjwa unatisha. Tembelea makaburi ya Ununio ukajionee mwenyewe watu waliozikwa hapo. Achana na wanaosafirishwa kwaenda kuzikwa makwao!!!Unaposema kuipata una maana gani ni kuumwa corona au kuwa na virusi tu vya corona? nauliza hivyo kwa sababu kuna tofauti kati ya kufa kwa corona na kufa ukiwa na corona hivyo kuwa corona postive haina maana ukifa ni covid tu. Na kuna utata sana kwenye kujua chanzo kilichosababisha kifo.
Nakubaliana na wewe mkuu. Serikali haitutendei haki kwa kutuongezea mzigo. Petroli inapanda kila kukicha, na tozo wanasema zipo kisheria. Wanatunga sheria kandamizi halafu wanajidai ipo kisheria!!! Mungu anawaona. Tozo tutazigomea kwa kutotuma miamala lakini petroli na kodi nyingine hatuna jinsi ya kuzikwepa!!!1Ila unasimama vipi peke yako:
"Sasa hivi hili suala ni la mtu binafsi kuamua anataka kuishi au lah! Afanye nini, ni juu yake."
Wakati serikali haina habari:
1. Ikiendelea kuwakamua wananchi kwa kuwaongezea kodi na tozo mbalimbali ndani ya gonjwa hili.
2. Ikiendelea kuwakamua wananchi kwa kuwatelekezea mzigo wa matibabu wa gonjwa hili kila linapowasibu.
3. Ikiendelea kuufanyia siasa ugonjwa huu kwa kuendelea kuficha takwimu zake.
4. Ikiendelea kutokufanya jitihada za kutosha kuwanusuru watu na ugonjwa huu.
#COVID19 - Corona: Bila Makavu itaondoka na Wengi
Mitaani misiba imekuwa mingi sana. Kwingine habari za mochwari kufurika zinasikika. Maprofesa na hata vigogo ni baina ya wahanga. Moja ya vipimo vya uhalisia wetu kuhusiana na huu ugonjwa ni hiki hapa: Babu Loliondo aliachwa kukusanya wagonjwa wa Corona nyumbani kwake pasipo na kuwepo...www.jamiiforums.com
Yako mengi ambavyo kwa hakika pamoja na kila kitu, kwa mwenendo wa serikali hii kwa hakika hatutoboi.
Nakubaliana na wewe mkuu. Serikali haitutendei haki kwa kutuongezea mzigo. Petroli inapanda kila kukicha, na tozo wanasema zipo kisheria. Wanatunga sheria kandamizi halafu wanajidai ipo kisheria!!! Mungu anawaona. Tozo tutazigomea kwa kutotuma miamala lakini petroli na kodi nyingine hatuna jinsi ya kuzikwepa!!!1
Mkuu unachekesha sana!!!! Naona umekasirika sana. Hunifikii mimi!!!!Miamala hiyo imo ndani ya uwezo wetu moja kwa moja.
Ninadhani hata nyuzi na comments za misukule yao kokote iliko kulikuwa na haja ya kuwaachia wabakie nayo wenyewe. Yaani wabakie na m@vi yao kwa maana yake halisi:
Wanufaika wa Katiba Iliyopo hawahitaji elimu
Katiba Iliyopo ina mapungufu mengi yasiyoweza kuvumilika zaidi. Ni wazi kuwa anayebeza jitihada zozote za kuanzishwa tena kwa mchakato wa kupata katiba mpya kiporo uliobakia, ni kwa sababu tu ya kuwa na uelewa mdogo au ni mnufaika wa moja kwa moja wa katiba mbovu hii iliyopo. Wanaobeza...www.jamiiforums.com
Variant mpaka sasa washakuwa watano huu ugonjwa bhn
Mkuu unachekesha sana!!!! Naona umekasirika sana. Hunifikii mimi!!!!
The best President we ever had!!!! Tulipokuwa naye hatukuona uzuri wake hadi alipokufa!!! Nilimlilia sana. RIP the only president who truly loved his people!!!! Hakujilimbikizia mali, hakujilipa mshahara mkubwa, hakuvunjia watu nyumba zao, nk. Aliweka maslahi ya watanzania mbele kuliko kitu chochote siyo barabara, sgr etc. Alijenga viwanda vingi vikaajiri watanzania wengi waliosoma na wasiosoma!!!! Yaani hatupati tena raisi kama huyu.