#COVID19 Kwa mujibu wa Zitto Kabwe, Tunapoteza watu kwa kiwango kikubwa kutokana na Corona

#COVID19 Kwa mujibu wa Zitto Kabwe, Tunapoteza watu kwa kiwango kikubwa kutokana na Corona

Jambo la kheri kuwa sherehe za nane nane zimefutwa kimya kimya.

Juzi kati Mwenge wa Uhuru ulikuwa Morogoro nao kimya kimya.

View attachment 1885518

Mambo ya mbuni yametufikisha hapa.

View attachment 1885424

---- extracts tokea kwake Zitto Kabwe.

Kwamba tunapoteza watu si chini ya 2,000/mwezi kwa Corona. Hali hii si ya kufumbiwa macho.

Wanaokufa katika hali hizi zinazoweza kuzuilika ni watu kama wewe na miye.

Kwamba hajawajibika mtu hadi leo kwa hali hii, kwa hakika haikubaliki.


Nchi gani ambayo haipotezi watu tuhamie huko?
 
Ys ,non sense question..

Zitto ametoa takwimu za RITA.

2019 vifo recorded vilikuwa 35k
2020 vifo vilipanda hadi 110k (Vimepanda baada ya kuingia uviko).
Kama unamwamini Zitto utakuwa unamatatizo kwenye ubongo wako in such that hauwezi kuchakata mambo in other words huna akili timamu!!
 
Kama unamwamini Zitto utakuwa unamatatizo kwenye ubongo wako in such that hauwezi kuchakata mambo in other words huna akili timamu!!

Kweli wewe akili kisoda ,Zitto amepewa taarifa kutoka RITA siyo yeye ndio kazichakata.
 
Vipi umeshaenda kumsalimia Gaidi Mbowe Segerea?
IMG_20210721_112817_344.jpg
 
Nchi gani ambayo haipotezi watu tuhamie huko?


"Nchi gani haipotezi watu kipumbavu?" Ingependeza zaidi:

IMG_20210809_101955_435.jpg



Kuna tofauti kubwa baina ya kupoteza watu na kupoteza watu kipumbavu:

 
Vipi ndugu zako wamepukutika wangapi mkuu?

Aliyepiga marufuku takwimu kutolewa hadharani alidhani kwa ujinga wake atatuweka busy kuulizana huo upumbavu wako.

Huo peleka Lumumba kwa pole pole na Gwajiboy.
 
Jombi kawaambie hayo ndege.

Sikuhitaji kwa lolote!

Ninakazia: usinitishe.

(In bold uione vizuri).

Una matatizo! Vitisho viko wapi hapa? Au hujui hata maana ya neno kutisha?

Nyie ndiyo wale tough-talking keyboard warriors!
 
Chanjo ni suluhisho kama jitihada za kuzuia variants mpya za kirusi hiki zipo na zinafanya kazi, na pia kama jitihada zina fanyika kuzuia variants mpya kuzalishwa ndani ya nchi.

Kumbuka chanjo hii inayotolewa ni mahsusi kwa variant iliyopo sasa.
Variant mpaka sasa washakuwa watano huu ugonjwa bhn
 
Huna lolote wewe dalali wa machanjo.

Huku mtaani hakuna cha corona wala nini.
Nimezika ndugu wawili wiki ya jana na wiki hii kwa corona. mmoja tumezika Ununio na makaburi yote yaliyokuwepo ni ya mwaka huu kuanzia Januari na n mengi sana. Nilijiuliza kwa nini wote wamezikwa sehemu moja hawajachanganywa na wa miaka mingine. Nikahisi labda serikali inataka takwimu. Wewe huamini nahisi hujafiwa na ndugu yeyote kw ugonjwa huu. Sisi tuliofiwa lazima tuchukue hatua. Una bahati sana. Yaani hata jirani yako hajafa kwa covid! mimi nimefiwa na majirani pia.
 
Unaposema kuipata una maana gani ni kuumwa corona au kuwa na virusi tu vya corona? nauliza hivyo kwa sababu kuna tofauti kati ya kufa kwa corona na kufa ukiwa na corona hivyo kuwa corona postive haina maana ukifa ni covid tu. Na kuna utata sana kwenye kujua chanzo kilichosababisha kifo.
Mkuu sikiliza wataalamu. Covid 19 inaua especially immunity ikiwa ndogo. Mgonjwa anakuwa na immunity ndogo hivyo akipata virusi vya covid 19 kupona ni ngumu. Atapata yale matatizo ya kushambiliwa mapafu, damu kuganda, kushindwa kupumua nk. na hatimaye mgonjwa atakufa tu. Wasikilizeni wataalamu msipuuzie, ugonjwa unatisha. Tembelea makaburi ya Ununio ukajionee mwenyewe watu waliozikwa hapo. Achana na wanaosafirishwa kwaenda kuzikwa makwao!!!
 
Ila unasimama vipi peke yako:

"Sasa hivi hili suala ni la mtu binafsi kuamua anataka kuishi au lah! Afanye nini, ni juu yake."

Wakati serikali haina habari:

1. Ikiendelea kuwakamua wananchi kwa kuwaongezea kodi na tozo mbalimbali ndani ya gonjwa hili.
2. Ikiendelea kuwakamua wananchi kwa kuwatelekezea mzigo wa matibabu wa gonjwa hili kila linapowasibu.
3. Ikiendelea kuufanyia siasa ugonjwa huu kwa kuendelea kuficha takwimu zake.
4. Ikiendelea kutokufanya jitihada za kutosha kuwanusuru watu na ugonjwa huu.


Yako mengi ambavyo kwa hakika pamoja na kila kitu, kwa mwenendo wa serikali hii kwa hakika hatutoboi.
Nakubaliana na wewe mkuu. Serikali haitutendei haki kwa kutuongezea mzigo. Petroli inapanda kila kukicha, na tozo wanasema zipo kisheria. Wanatunga sheria kandamizi halafu wanajidai ipo kisheria!!! Mungu anawaona. Tozo tutazigomea kwa kutotuma miamala lakini petroli na kodi nyingine hatuna jinsi ya kuzikwepa!!!1
 
Nakubaliana na wewe mkuu. Serikali haitutendei haki kwa kutuongezea mzigo. Petroli inapanda kila kukicha, na tozo wanasema zipo kisheria. Wanatunga sheria kandamizi halafu wanajidai ipo kisheria!!! Mungu anawaona. Tozo tutazigomea kwa kutotuma miamala lakini petroli na kodi nyingine hatuna jinsi ya kuzikwepa!!!1

Miamala hiyo imo ndani ya uwezo wetu moja kwa moja.

Ninadhani hata nyuzi na comments za misukule yao kokote iliko kulikuwa na haja ya kuwaachia wabakie nayo wenyewe. Yaani wabakie na m@vi yao kwa maana yake halisi:

 
Miamala hiyo imo ndani ya uwezo wetu moja kwa moja.

Ninadhani hata nyuzi na comments za misukule yao kokote iliko kulikuwa na haja ya kuwaachia wabakie nayo wenyewe. Yaani wabakie na m@vi yao kwa maana yake halisi:

Mkuu unachekesha sana!!!! Naona umekasirika sana. Hunifikii mimi!!!!
 
Haisaidii kukaa kimya:

View attachment 1886852

Apumzike kwa amani Mwalimu Nyerere.
The best President we ever had!!!! Tulipokuwa naye hatukuona uzuri wake hadi alipokufa!!! Nilimlilia sana. RIP the only president who truly loved his people!!!! Hakujilimbikizia mali, hakujilipa mshahara mkubwa, hakuvunjia watu nyumba zao, nk. Aliweka maslahi ya watanzania mbele kuliko kitu chochote siyo barabara, sgr etc. Alijenga viwanda vingi vikaajiri watanzania wengi waliosoma na wasiosoma!!!! Yaani hatupati tena raisi kama huyu.
 
Back
Top Bottom