- Thread starter
- #201
Una matatizo! Vitisho viko wapi hapa? Au hujui hata maana ya neno kutisha?
Nyie ndiyo wale tough-talking keyboard warriors!
1. Nakazia hutishi mtu. Huo utopolo kawaambieni ndege:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una matatizo! Vitisho viko wapi hapa? Au hujui hata maana ya neno kutisha?
Nyie ndiyo wale tough-talking keyboard warriors!
Kwahiyo wataalamu wanasemaje tuimarishe kinga zetu au?Mkuu sikiliza wataalamu. Covid 19 inaua especially immunity ikiwa ndogo. Mgonjwa anakuwa na immunity ndogo hivyo akipata virusi vya covid 19 kupona ni ngumu. Atapata yale matatizo ya kushambiliwa mapafu, damu kuganda, kushindwa kupumua nk. na hatimaye mgonjwa atakufa tu. Wasikilizeni wataalamu msipuuzie, ugonjwa unatisha. Tembelea makaburi ya Ununio ukajionee mwenyewe watu waliozikwa hapo. Achana na wanaosafirishwa kwaenda kuzikwa makwao!!!
The best President we ever had!!!! Tulipokuwa naye hatukuona uzuri wake hadi alipokufa!!! Nilimlilia sana. RIP the only president who truly loved his people!!!! Hakujilimbikizia mali, hakujilipa mshahara mkubwa, hakuvunjia watu nyumba zao, nk. Aliweka maslahi ya watanzania mbele kuliko kitu chochote siyo barabara, sgr etc. Alijenga viwanda vingi vikaajiri watanzania wengi waliosoma na wasiosoma!!!! Yaani hatupati tena raisi kama huyu.
Hakuna vitisho hapo. Nimekuambia uepuke kauli za ovyo wakati unaongea na mtu ambaye hata hujui true identity yake. Hivi ikitokea kwamba mtu uliyemtolea kauli za ajabu ajabu kumbe ni mwalimu wako, your uncle, your aunt na wengine kama hao utajisikiaje?
Shupaza shingo tough-talking keyboard warrior!
Alikuwa na madudu yake ya ovyo lakini aliwapenda watanzania kwa dhati. Kipindi chake hata viongozi walimuogopa hivyo huu ufisadi usingekuwepo hata rushwa ilikuwa nafuu. Yale mashirika na viwanda alivyoviua ben vilisaidia sana watanzania.Sina hakika kwanini unasema:
"Tulipokuwa naye hatukuona uzuri wake hadi alipokufa!!!"
View attachment 1886874
Unamaanisha Julius huyu huyu ambaye asingekubaliana na ya awamu ile au awamu hii?
Does it mean you are safe?
Zitto tunafahamu bila kuziondoa akili huwezi kula pesa ya beberu, mnajua kabisa wengine wana ma TB, Cancer lakini wakifa mnataka kusema Corona ndiyo primary source.