#COVID19 Kwa mujibu wa Zitto Kabwe, Tunapoteza watu kwa kiwango kikubwa kutokana na Corona

#COVID19 Kwa mujibu wa Zitto Kabwe, Tunapoteza watu kwa kiwango kikubwa kutokana na Corona

Una matatizo! Vitisho viko wapi hapa? Au hujui hata maana ya neno kutisha?

Nyie ndiyo wale tough-talking keyboard warriors!

1. Nakazia hutishi mtu. Huo utopolo kawaambieni ndege:

IMG_20210810_085354_802.jpg
 
Mkuu sikiliza wataalamu. Covid 19 inaua especially immunity ikiwa ndogo. Mgonjwa anakuwa na immunity ndogo hivyo akipata virusi vya covid 19 kupona ni ngumu. Atapata yale matatizo ya kushambiliwa mapafu, damu kuganda, kushindwa kupumua nk. na hatimaye mgonjwa atakufa tu. Wasikilizeni wataalamu msipuuzie, ugonjwa unatisha. Tembelea makaburi ya Ununio ukajionee mwenyewe watu waliozikwa hapo. Achana na wanaosafirishwa kwaenda kuzikwa makwao!!!
Kwahiyo wataalamu wanasemaje tuimarishe kinga zetu au?
 
The best President we ever had!!!! Tulipokuwa naye hatukuona uzuri wake hadi alipokufa!!! Nilimlilia sana. RIP the only president who truly loved his people!!!! Hakujilimbikizia mali, hakujilipa mshahara mkubwa, hakuvunjia watu nyumba zao, nk. Aliweka maslahi ya watanzania mbele kuliko kitu chochote siyo barabara, sgr etc. Alijenga viwanda vingi vikaajiri watanzania wengi waliosoma na wasiosoma!!!! Yaani hatupati tena raisi kama huyu.

Sina hakika kwanini unasema:

"Tulipokuwa naye hatukuona uzuri wake hadi alipokufa!!!"

Unamaanisha Julius huyu huyu ambaye asingekubaliana na ya awamu ile au awamu hii?
 
1. Nakazia hutishi mtu. Huo utopolo kawaambieni ndege:

View attachment 1886858

Hakuna vitisho hapo. Nimekuambia uepuke kauli za ovyo wakati unaongea na mtu ambaye hata hujui true identity yake. Hivi ikitokea kwamba mtu uliyemtolea kauli za ajabu ajabu kumbe ni mwalimu wako, your uncle, your aunt na wengine kama hao utajisikiaje?
 
Nakazia: hatishwi mtu hapa. The rest you can tell it to birds!

IMG_20210810_085354_802.jpg
 
Sina hakika kwanini unasema:

"Tulipokuwa naye hatukuona uzuri wake hadi alipokufa!!!"

View attachment 1886874

Unamaanisha Julius huyu huyu ambaye asingekubaliana na ya awamu ile au awamu hii?
Alikuwa na madudu yake ya ovyo lakini aliwapenda watanzania kwa dhati. Kipindi chake hata viongozi walimuogopa hivyo huu ufisadi usingekuwepo hata rushwa ilikuwa nafuu. Yale mashirika na viwanda alivyoviua ben vilisaidia sana watanzania.
 
Zitto tunafahamu bila kuziondoa akili huwezi kula pesa ya beberu, mnajua kabisa wengine wana ma TB, Cancer lakini wakifa mnataka kusema Corona ndiyo primary source.
 
Zitto tunafahamu bila kuziondoa akili huwezi kula pesa ya beberu, mnajua kabisa wengine wana ma TB, Cancer lakini wakifa mnataka kusema Corona ndiyo primary source.

Corona secondary source?

IMG_20210718_063455_991.jpg

Hiiiiii bagosha!
 
Back
Top Bottom