#COVID19 Kwa mujibu wa Zitto Kabwe, Tunapoteza watu kwa kiwango kikubwa kutokana na Corona

Una matatizo! Vitisho viko wapi hapa? Au hujui hata maana ya neno kutisha?

Nyie ndiyo wale tough-talking keyboard warriors!

1. Nakazia hutishi mtu. Huo utopolo kawaambieni ndege:

Kwahiyo wataalamu wanasemaje tuimarishe kinga zetu au?
 
Sina hakika kwanini unasema:

"Tulipokuwa naye hatukuona uzuri wake hadi alipokufa!!!"

Your browser is not able to display this video.

Unamaanisha Julius huyu huyu ambaye asingekubaliana na ya awamu ile au awamu hii?
 
1. Nakazia hutishi mtu. Huo utopolo kawaambieni ndege:

View attachment 1886858

Hakuna vitisho hapo. Nimekuambia uepuke kauli za ovyo wakati unaongea na mtu ambaye hata hujui true identity yake. Hivi ikitokea kwamba mtu uliyemtolea kauli za ajabu ajabu kumbe ni mwalimu wako, your uncle, your aunt na wengine kama hao utajisikiaje?
 
Nakazia: hatishwi mtu hapa. The rest you can tell it to birds!

Sina hakika kwanini unasema:

"Tulipokuwa naye hatukuona uzuri wake hadi alipokufa!!!"

View attachment 1886874

Unamaanisha Julius huyu huyu ambaye asingekubaliana na ya awamu ile au awamu hii?
Alikuwa na madudu yake ya ovyo lakini aliwapenda watanzania kwa dhati. Kipindi chake hata viongozi walimuogopa hivyo huu ufisadi usingekuwepo hata rushwa ilikuwa nafuu. Yale mashirika na viwanda alivyoviua ben vilisaidia sana watanzania.
 
Zitto tunafahamu bila kuziondoa akili huwezi kula pesa ya beberu, mnajua kabisa wengine wana ma TB, Cancer lakini wakifa mnataka kusema Corona ndiyo primary source.
 
Zitto tunafahamu bila kuziondoa akili huwezi kula pesa ya beberu, mnajua kabisa wengine wana ma TB, Cancer lakini wakifa mnataka kusema Corona ndiyo primary source.

Corona secondary source?

Hiiiiii bagosha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…