#COVID19 Kwa mujibu wa Zitto Kabwe, Tunapoteza watu kwa kiwango kikubwa kutokana na Corona

Huko Kilimanjaro hata pakuzikia tena hakuna halafu jitu linakuja hapa eti uongo uongo huo Kwiyo? nyambaf mlishaambiwa za kuambiwa changanya na zako, nyie shupaeni tu na waziri wao wa jeshi ndio anazikwa leo alikopitishwa hata kufunuliwa hairuhusiwi halafu limtu linakuja hapa eti ooh hakuna ugonjwa stupid kabisa
 
Not apple-to-apple comparison.

Utasemaje sijaguswa ilihali hunijui na sikujui?

Unajua tofauti ya kusema na kuuliza? Au alama hii (?) kwenu haina maana yoyote?



Au ni mashindano ya kuonyesha mu watupu kiasi gani vichwani?
 
Pamoja na hayo bado Gwajima ana kundi la misukule yake inayoamini ikifa kwa kutochanjwa itafufuliwa nae.
 

Komaa hivyo hivyo:



Lengo la mada wala si kujaribu kukushawishi wewe. After all, who are you?

Lengo la mada ni kuweka wazi tulipo ndani ya jitihada ovu za kuficha yaliyo kweli.
 
Hiyo tb na kansa imekuwepo leo? Kwanini wafe kwa wingi kipindi hichi?
 

Data za vifo vya “Covid-19 complications” zinapatikana hospitali wanakofia wagonjwa sio makaburini. Usitembelee makaburi. Tafuta mahospitalini utapata.

Huwezi kumtambua aliyekufa kwa Covid-19 kwa kumtizama kwa macho anapozikwa kaburini. Labda kama una karama maalum.
 
Nimeipenda picha ya Mbuni
 

Hujui kwanini kutangaza vifo vya covid ilikuwa ni muhimu na wala si kwa magonjwa hayo uliyoyataja? Seriously?!

Iko hivi, kwa matumizi ya takwimu hizo India na huko China hali iko hivi hatimaye:







Kujibu swali lako China na ukubwa wake Corona leo si tatizo tena na watu hawafi tena kwa ugonjwa huu.

Wewe endelea kumsikiliza nabii wako askofu Rashid atakuvusha.
 
Anamsubiri Mungu amvushe huku chui wenye njaa wanakuja nyuma.

Askofu Rashid kayapata misukule mingi ya kumwaga!
Askofu Rashid ni bonge la msanii hadi raha, hivi kwanini hakumbushwi kuhusu ile treni?
 
kwa hyo hamtaki watu wafe[emoji15] sa tutaendaje mbinguni kama tusipokufa mazee

Swali zuri kwa wanaotusomea risala kujinasibu walivyoimarisha huduma za afya kwa kujenga hospitali za rufaa na vituo kadhaa vya afya, kujaza madawa na vifaa tiba mahospitalini; kuanza huduma za kibingwa za moyo, figo, n.k.

Hawataki tufe tu?
 
Mtaaani wapi broo huko unakozungumzia.makaburi yapi hayo unayoyazungumzia?
 
Komaa hivyo hivyo:

View attachment 1886044

Lengo la mada wala si kujaribu kukushawishi wewe. After all, who are you?

Lengo la mada ni kuweka wazi tulipo ndani ya jitihada ovu za kuficha yaliyo kweli.
Lengo ni kutishana tu na mnajua mnavyonufaika na hii promo.

Watanzania wa leo wala wasingehitaji mikwala yote hii kama vifo vingekuwa vingi vya corona mpaka sehemu za kuzikana zinakosekana!!
 
Kufa kuko palepale msitake kusingizia corona. Ni upagani wa hali ya juu kutokujua kwamba kama unaishi utakufa/kunyakuliwa kwa utaratibu Mungu aliokupangia. Kama alikupangia kufa kwa corona hata ujichanje hadi kichwani utakufa tu kwa hiyo corona. Tusitishane tafutene utaratibu mwengine wa kupiga fedha za hao wenye corona yao, msicheze na maisha ya Watanzania
 
Kufa kwanza wewe ndo tujue korona inaukubwa gani ,maana mnakomaaa kama vile watu walikuwa hawafi hapo nyuma ,korona ipo lakini mnajaribu kuikuza mpaka watu waogope kwenda kufanya shughuli zao.mbona nyinyi hamfi kila siku tunawaona jf .

Miye nilishakufa tangia yule mpumbavu alipotuletea upumbavu huu:



na kuiaminisha mipumbavu upumbavu huo hadi leo.

Huko ndiko kufa kishujaa kwa niaba ya wapendwa wako na hata usiowajua wakiwamo wapumbavu pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…