#COVID19 Kwa mujibu wa Zitto Kabwe, Tunapoteza watu kwa kiwango kikubwa kutokana na Corona

Unaishi mtaa gani?
Mtaani kwetu kila siku mjumbe anapita kudai buku mbili za misiba
Upo mtaa gani?
Nipo tayari kuja kufanya utafiti.

Kwanini watu mnapenda kukuza mambo?
Hivi watu 2000 unadhani ni chapati?
Nchi hii tulivyo ki ndugundugu si tungekua tunapishana misibani?

Acheni ndugu zangu. Siku Mungu akiamua tufe hao buku 2 sijui mtakimbilia wapi.
 
Kuna mitaa zaidi huku. Karibu:

Makabachori kule India walianza kwa kusema hivyohivyo. Takwimu za kupikwa. Mpaka kuni zakuchoma maiti zilipowaishia ndipo walipojua kwamba huyu mdudu Corona Hana masihara.
 
Tumepuuza tiba asili, ooh sijui sayansi imeenda imerudi. Pigeni ndimu, malimao, asali plus nyungu.
 
Tumepuuza tiba asili, ooh sijui sayansi imeenda imerudi. Pigeni ndimu, malimao, asali plus nyungu.

Tiba asili wabakie nazo Lumumba, itapendeza zaidi.

Pole pole, Gwajiboy peleka moto!
 
Makabachori kule India walianza kwa kusema hivyohivyo. Takwimu za kupikwa. Mpaka kuni zakuchoma maiti zilipowaishia ndipo walipojua kwamba huyu mdudu Corona Hana masihara.

Ujinga nao ni kama mzigo wa kuni tu nao hubebwa vichwani mwa watu vile vile.

Hata hivyo India leo wanaweza kuwa na nafuu kuliko sisi.
 
Acha kejeri mkuu huu ugonjwa unamaswali mengi sana na mtindo wa maisha yetu je unadhani chanjo ndio suruhisho?

Chanjo ni suluhisho kama jitihada za kuzuia variants mpya za kirusi hiki zipo na zinafanya kazi, na pia kama jitihada zina fanyika kuzuia variants mpya kuzalishwa ndani ya nchi.

Kumbuka chanjo hii inayotolewa ni mahsusi kwa variant iliyopo sasa.
 
Wanaotishwa watoto wadogo tena wasiopenda kunywa uji?

Kutishwa maana yake nini? Mbona kujidhalilisha hivyo?
Boss, nimesema kwa kuuliza kama shughuli za mwenge zinaendelea au la, lengo ni kuongeza taharuki kwakuwa taarifa sahihi ni kuwa watu wanaendelea na hizo shughuli.
 
Kweli kabisa mkuu. They learned the hard way. Yaani pale kwa uchache ni kama watu million 2 wamepoteza maisha.

Ukiona vyaelea vimeundwa. India hawakufika hapa walipo leo kwa ajali. Sisi tuko hivi:

Tunasubiri Mungu kutuvusha. Kwani Wenda wazimu maana yake nini?
 
Wataalamu wanasema vifo kadhaa kwa wiki, hoja ni kujua kama hii pandemic inakimbiza watu wengi zaidi kaburini kwa siku kuliko ugonjwa mwingine! Maana kama yapo, basi twende mdogo mdogo kwenye kutatua hili
 
Inahitaji mtu mwenye akili zaidi ile inayohitajika kuvukia barabara peke yake kumwelewa Zitto au kukuelewa mkuu kwenye hili.
 
Wataalamu wanasema vifo kadhaa kwa wiki, hoja ni kujua kama hii pandemic inakimbiza watu wengi zaidi kaburini kwa siku kuliko ugonjwa mwingine! Maana kama yapo, basi twende mdogo mdogo kwenye kutatua hili

Kujua hilo si taabu kwani (a) hapo inajieleza zaidi:

2019 bila gonjwa hili. Around 17 March 2020 gonjwa lilipotufikia rasmi.
 
Boss, nimesema kwa kuuliza kama shughuli za mwenge zinaendelea au la, lengo ni kuongeza taharuki kwakuwa taarifa sahihi ni kuwa watu wanaendelea na hizo shughuli.

Kwa wenye akili na takwimu zao wako hapa kwenye mambo kimya kimya:

Ila watu kuendelea na shughuli zao kwa vile tu hawajaguswa huyo nyumbu sasa ndipo anapowahusu haswa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…