johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kikwete alimuonea sana Maalim Seif Sharif kamyangaya urais mchana kweupe akishirikiana na Jecha wake🤣Zanzibar walishafanya mabadiliko 2015. CCM watu wabaya sana.
Kilevi kimemzidia huyoMadai yako ni kwamba lissu hawezi kuleta madaliko kwenye taifa alafu badala ueleze sababu kwenye maelezo unaanza "sijui wengi hawawezi kuelewa" bila kueleza sababu hapo sasa sijui unaongea nini ?