johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wengi wanaweza wasielewe ili mabadiliko yoyote yafanikiwe Tanzania ni lazima yapate Baraka za kutosha Kutoka Kwa Wazanzibar na SMZ
Muundo wa nchi ya Tanzania ni wa Serikali mbili ile ya Zanzibar na ya Muungano
CHADEMA wako Chini ya Serikali ya Muungano hivyo mabadiliko yoyote wanayoyapendekeza yanawahusu Moja Kwa Moja Wazanzibar kwa sababu Wazanzibar Wote ni Watanzania lakini siyo Watanzania Wote ni Wazanzibar
Tunakumbushana tu
Mlale unono 😀