Kwa muundo wa Serikali ya Tanzania ulivyo Tundu Lissu hawezi kuleta mabadiliko yoyote bila Kwanza kuwashirikisha Wazanzibari

Kwa muundo wa Serikali ya Tanzania ulivyo Tundu Lissu hawezi kuleta mabadiliko yoyote bila Kwanza kuwashirikisha Wazanzibari

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Wengi wanaweza wasielewe ili mabadiliko yoyote yafanikiwe Tanzania ni lazima yapate Baraka za kutosha Kutoka Kwa Wazanzibar na SMZ

Muundo wa nchi ya Tanzania ni wa Serikali mbili ile ya Zanzibar na ya Muungano

CHADEMA wako Chini ya Serikali ya Muungano hivyo mabadiliko yoyote wanayoyapendekeza yanawahusu Moja Kwa Moja Wazanzibar kwa sababu Wazanzibar Wote ni Watanzania lakini siyo Watanzania Wote ni Wazanzibar

Tunakumbushana tu

Mlale unono 😀
 
..ACT nao wamesema bila utaratibu wa kura ya siku mbili kuondolewa hakutakuwa na uchaguzi Zanzibar.
 
Madai yako ni kwamba lissu hawezi kuleta madaliko kwenye taifa alafu badala ueleze sababu kwenye maelezo unaanza "sijui wengi hawawezi kuelewa" bila kueleza sababu hapo sasa sijui unaongea nini ?
 
Madai yako ni kwamba lissu hawezi kuleta madaliko kwenye taifa alafu badala ueleze sababu kwenye maelezo unaanza "sijui wengi hawawezi kuelewa" bila kueleza sababu hapo sasa sijui unaongea nini ?
Kilevi kimemzidia huyo
 
namuona Lissu akifail kama alivyofail mbowe kwenye suala zima la ushiriki wa wazanzibari na waislamu ndani ya CHADEMA. ni doa kubwa kwa chama.
 
Back
Top Bottom