Kwa mwaka 2017 nani aliongoza kwa kutumia lugha zisizo na staha katika JamiiForums ili ajirekebishe mwaka 2018?

Kwa mwaka 2017 nani aliongoza kwa kutumia lugha zisizo na staha katika JamiiForums ili ajirekebishe mwaka 2018?

tramadol

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Posts
5,383
Reaction score
4,323
Kichwa habari kiko clear kabisa kuna watu wametumia lugha chafu sana ndani ya mitandao na wengi tu kupata ban...

Ni nani hao ambao waliongoza kwa lugha chafu zisizio na staha na kuharibu mada ya liyowekwa mezani kujadiliwa? ili mwaka 2018 wajirekebishe?
 
Imebidi niipekue profile yake na ameonekana kwenye ule uzi wa uislam na ukristu. Nimesoma baadhi ya post zake huwa anatoaga mapovu na mitusi tu!
Kwenye huo uzi kakutana na kichaa mwenzie Alonso14
Padri mcharo anauliza "Unamjua mwanamama Patricia hilary aliyeimba Njiwa peleka salamu?" Alonso akajibu "Huyo mwanamama sindio wewe"

Aisee nilicheka sana
 
Back
Top Bottom