UDSM Alumni
JF-Expert Member
- Jan 25, 2015
- 2,530
- 1,370
afu wote wamerudi kwa id mpya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
afu wote wamerudi kwa id mpya
Barcelona ikicheza nenda kule jukwaani kwao.......,utampAta mcharo mcharuko[emoji23] [emoji23]Mi nimemmiss Padri Mcharo sijui yukwapi
Padri heri ya mwaka mpya popote ulipo
Mkuu huyo Jamaa noma dadekiBado yupo leo kanikera sana,nkaamua kuangalia profile,yake,yaaan huyu jamaa comments zake zoote ni kuponda,hajawah sifia hata1
Spin doctors!Kichwa habari kiko clear kabisa kuna watu wametumia lugha chafu sana ndani ya mitandao na wengi tu kupata ban...
Ni nani hao ambao waliongoza kwa lugha chafu zisizio na staha na kuharibu mada ya liyowekwa mezani kujadiliwa? ili mwaka 2018 wajirekebishe?
alonso aliingia mara ya mwisho JF mwaka 2012 ...ila Mcharo yupo tena online na dakika moja iliyopita alikuwa anasoma jamboHao uliotaja nimetembelea profile zao naona wengi wamepigwa ban na kuna mmoja huyo HR666 kapigwa life ban kabisa!
Alonso alijisajili 2017 mkuu, hata muda huu kaingiaalonso aliingia mara ya mwisho JF mwaka 2012 ...ila Mcharo yupo tena online na dakika moja iliyopita alikuwa anasoma jambo
Kulikuwa na Uzi fulani mkali Hr666 na Genta sijui uliishafutwa.Gentamycine alipotelea wapi......
Ha ha ha kumbe yupo, ngoja nimfate pm nimsalimie, I guess badala ya kuitikia salamu atanipa maneno yake yale hadi nijute kumfahamu 😀Barcelona ikicheza nenda kule jukwaani kwao.......,utampAta mcharo mcharuko[emoji23] [emoji23]
Ila mi namkubali mcharo na matola japo wana maneno unaweza hama mtaa ha ha haImebidi niipekue profile yake na ameonekana kwenye ule uzi wa uislam na ukristu. Nimesoma baadhi ya post zake huwa anatoaga mapovu na mitusi tu!
KazAma humu muda c mrefuHa ha ha kumbe yupo, ngoja nimfate pm nimsalimie, I guess badala ya kuitikia salamu atanipa maneno yake yale hadi nijute kumfahamu 😀
😀😀😀Jestikilla. "Binti" wa Kinyarwanda huwa anatukana balaa [emoji124][emoji124][emoji124]
Hapa penyewe akija sijui hali yangu itakuwaje [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
😀😀😀Kwenye huo uzi kakutana na kichaa mwenzie Alonso14
Padri mcharo anauliza "Unamjua mwanamama Patricia hilary aliyeimba Njiwa peleka salamu?" Alonso akajibu "Huyo mwanamama sindio wewe"
Aisee nilicheka sana
Joseverest yupo
hata haijulikani jamani