Kwa mwaka 2017 nani aliongoza kwa kutumia lugha zisizo na staha katika JamiiForums ili ajirekebishe mwaka 2018?

Kwa mwaka 2017 nani aliongoza kwa kutumia lugha zisizo na staha katika JamiiForums ili ajirekebishe mwaka 2018?

Bila ya Genta kuwemo siwezi kukubali maana nae kwa shombo na mitusi balaa.
aliwahi kuomba msamaha hadharani...baada ya kumwambia nashukuru kwa kukiri kwake na kubadilika kwake
 
Back
Top Bottom