Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Sasa kama unanikubali kiaina leo si ndio ilibidi tukale ice cream sehemu?Ila mi namkubali mcharo na matola japo wana maneno unaweza hama mtaa ha ha ha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama unanikubali kiaina leo si ndio ilibidi tukale ice cream sehemu?Ila mi namkubali mcharo na matola japo wana maneno unaweza hama mtaa ha ha ha
Leo fujo fujo watu kibao....twende next weekSasa kama unanikubali kiaina leo si ndio ilibidi tukale ice cream sehemu?
Ombi lipi tena, hebu omba upya si unajua mwaka mpya, mafaili ya mwaka jana nimeyadeleteEvelyn Mwaka mpya huu unifikirie ombi langu..
Hafu kuna huyu jamaa Aleppo anamatusi kama shosti fulani huku kitaa
Jestikilla. "Binti" wa Kinyarwanda huwa anatukana balaa [emoji124][emoji124][emoji124]
Hapa penyewe akija sijui hali yangu itakuwaje [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
😀😀😀
Ingia kabisa uvunguni
Akija apa utaskia anakwambia idiot, punguan,hujitambui hahaha ana matatizo ya akili yule atakuaHuyu connor1 anaongoza,huyu afutwe kabsa humu,ana lugha hafu sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jestikilla. "Binti" wa Kinyarwanda huwa anatukana balaa [emoji124][emoji124][emoji124]
Hapa penyewe akija sijui hali yangu itakuwaje [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nataka U replace pengo la Valentina..Ombi lipi tena, hebu omba upya si unajua mwaka mpya, mafaili ya mwaka jana nimeyadelete
hahha bsi kaka
nashukur kwa kuniheshimu kaka anguNimemuacha kwa heshima yako tu humu jamvini
Mtafutieni mbabe wake[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] cha ajabu watu kama hawa wanajuana wenyeweMkuu huyo Jamaa noma dadeki
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwenye huo uzi kakutana na kichaa mwenzie Alonso14
Padri mcharo anauliza "Unamjua mwanamama Patricia hilary aliyeimba Njiwa peleka salamu?" Alonso akajibu "Huyo mwanamama sindio wewe"
Aisee nilicheka sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]