Kwa mwaka 2017 nani aliongoza kwa kutumia lugha zisizo na staha katika JamiiForums ili ajirekebishe mwaka 2018?

Kwa mwaka 2017 nani aliongoza kwa kutumia lugha zisizo na staha katika JamiiForums ili ajirekebishe mwaka 2018?

Huyu connor1 anaongoza,huyu afutwe kabsa humu,ana lugha hafu sana
Akija apa utaskia anakwambia idiot, punguan,hujitambui hahaha ana matatizo ya akili yule atakua
 
Jestikilla. "Binti" wa Kinyarwanda huwa anatukana balaa [emoji124][emoji124][emoji124]

Hapa penyewe akija sijui hali yangu itakuwaje [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwenye huo uzi kakutana na kichaa mwenzie Alonso14
Padri mcharo anauliza "Unamjua mwanamama Patricia hilary aliyeimba Njiwa peleka salamu?" Alonso akajibu "Huyo mwanamama sindio wewe"

Aisee nilicheka sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom