hahaha.. Huyo jamaa sijui anatatizo gani, lakin ameshapigwa banHuyu connor1 anaongoza,huyu afutwe kabsa humu,ana lugha hafu sana
Bado yupo leo kanikera sana,nkaamua kuangalia profile,yake,yaaan huyu jamaa comments zake zoote ni kuponda,hajawah sifia hata1hahaha.. Huyo jamaa sijui anatatizo gani, lakin ameshapigwa ban
hata haijulikani jamaniMi nimemmiss Padri Mcharo sijui yukwapi
Padri heri ya mwaka mpya popote ulipo
Imebidi niipekue profile yake na ameonekana kwenye ule uzi wa uislam na ukristu. Nimesoma baadhi ya post zake huwa anatoaga mapovu na mitusi tu!Mi nimemmiss Padri Mcharo sijui yukwapi
Padri heri ya mwaka mpya popote ulipo
Hao uliotaja nimetembelea profile zao naona wengi wamepigwa ban na kuna mmoja huyo HR666 kapigwa life ban kabisa!
Kwenye huo uzi kakutana na kichaa mwenzie Alonso14Imebidi niipekue profile yake na ameonekana kwenye ule uzi wa uislam na ukristu. Nimesoma baadhi ya post zake huwa anatoaga mapovu na mitusi tu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwenye huo uzi kakutana na kichaa mwenzie Alonso14
Padri mcharo anauliza "Unamjua mwanamama Patricia hilary aliyeimba Njiwa peleka salamu?" Alonso akajibu "Huyo mwanamama sindio wewe"
Aisee nilicheka sana