Kwa mwana JF mwenzetu FORGIVE na wengine wenye matatizo kama yake

Kama mimi, kwanza sikuamini ilibidi ni-restart upya kinotibuku changu then niingie upya jamvini, ndo nikakuta thread ipo CLOSED TOPIC


Yaani wameipotezea mazima hata kusearch siioni kabisa mkuu lakini asante kwa summary....dah
 
Kama mimi, kwanza sikuamini ilibidi ni-restart upya kinotibuku changu then niingie upya jamvini, ndo nikakuta thread ipo CLOSED TOPIC
Mkuu kama alivyosema Gurudumu kwenye post yake juu, there are some people who are going through hell and a lot of cases are remained unreported, and therefore unaddressed wengine ni kutokana na kuona aibu kwasababu anaogopa kuonekana tofauti mbele ya jamii lakini watu kama FORGIVE wenye guts za kusema ni wachche sana unajua msaada wa kimawazo pia unasaidia, mtu ukificha jambo kama hilo bila kuongea na mtu inakuwa ni Psychological Torture.
 
Imeniuma sana mkuu, and sasa hivi hata mood yangu haiko kwenye kazi kabisa

Pole sana mkuu, ila ungejua hata mimi kuporomosha maombi namna hiyo SIJAWAHI HATA SIKU MOJA, sio hapa jamvini tu kokote kule nilipowahi kuishi sijawahi. Nimekuwa tu na msimamo wangu wa upendo kwa watu na kutenda yaliyo mema tofauti na wengine ambapo anaweza kudhani mimi ni mlokole au mwana maombi mzuri sana, kumbe siko hivyo. Naamini ninaweza kufanya lolote nikiwa na imani, bila kujitambulisha kwa ulokole au vinginevyo. I believe and Trust in God, The Almighty

Mi nahisi ningekuwa nawajua angalau ni akina nani tu, ingetosha mimi kufanyanyia NITAKACHOWAFANYIA, hata kama anatembelea eskoti ya aina gani, ningesuka mpango mpaka ni . . . . . . . Aaaaaaaagrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Kwa ni masahibu gani yamemsibu huyu Mwana Jamii???
 
Hivi hata mwanamke abakwe vp, huo ubakaji hauwezi ukasababisha apate madhara ya kusababisha aondolewe uwezo wa kuzaa ili apone?

Mkuu swali lako sijalielewa vizuri. Hata hivyo ngoja nijaribu kujibu nilivyoelewa. Kubakwa kwa mwanamke hakuna uhusiano na uwezo wake wa kuzaa kibayolojia. tatizo la uzazi linatokana na complications katika uzazi wenyewe.

kwa mfano ulivyonieleza kuhusu tatizo la FORGIVE ulisema alipata ujauzito ambao uliharibika. kuna mambo mengi sana hapa kutegemea na tatizo lililopelekea mimba yake kuharibika (haina uhusiano na ubakaji). Pengine mimba ilipoharibika alichelewa kupata huduma ya kusafisha kizazi hivyo kizazi kikadhurika. au kuharibika kwa mimba kulisababishwa na kupasuka kwa kizazi. Au alijaribu kutoa mimba na aliyemtoa alifanya makosa yaliyoharibu kizazi. Au aliwahi kusafishwa lakini kulitokea complication katika kusafisha kizazi hivyo tatizo likajitokeza.

kutegemea na eneo alililokuwa, ubora wa huduma zetu za afya na upatikanaji wa wataalamu wa afya linaweza kuwa lilikuza tatizo lake. Hebu fikiria mtu anayeishi Nkasi kule mwambao wa ziwa tanganyika halafu anapata complication kama hiyo. Usafiri shida lakini kujua aina na utete wa tatizo pia ni shida. hivyo kuchelewa kuhudumiwa au kuhudumia vibaya (case mismanagement)

kuna mambo scenario nyingi mno mkuu, ingependeza kama mhusika mwenyewe angesema nini hasa kilitokea.
 
The Following 2 Users Say Thank You to Kaizer For This Useful Post:

CPU (Today), The Finest (Today)​


Aiseeee
Mkuu naomba usikilize huo wimbo zaidi ya mara mbili utaelewa vizuri ujumbe uliomo humo ndani, very touching song wenye ujumbe mzuri.[/QUOTE]

ngoja nichomeke na haya ma-speaker makubwa . . . lol
 
Kwa ni masahibu gani yamemsibu huyu Mwana Jamii???

Kaka, rudi mpaka Page ya pili ya hii thread, angalia post ya mwisho, nimetoa summary ya mkasa mzima
 

Ingawa umemwadress CPU mkuu lakini hoja uliyoijibu ni yangu, nakubaliana na wewe. FORGIVE ameweza kusema kwa sababu hapa hatuwezi kumjua. Sidhani kama ukiwa naye live atakueleza, ndiyo maana hajaweza hata kumweleza mpenzi wake. Katika serikali makini huwa kuna vitengo vya kusaidia victims of abuse, na wataalamu wanaolipwa vizuri. This is one area our gov has failed us.
 
Yaani wameipotezea mazima hata kusearch siioni kabisa mkuu lakini asante kwa summary....dah

Kaka, MODS waliitoa ile thread baada ya kuanza kujisikia vibaya, kutokana na baadhi ya watu kuanza kumshutumu na kumshambulia kwa keyboard zao , ""eti kwanini alikubali kubakwa"" badala ya kumsaidia. SO binti akaomba Mods wamsaidie thread itolewe
 

Kila wilaya ilitakiwa kuwa na kitengo cha kusaidia victims of abuse bana, a lot of people are suffering silently
 
Kaka, MODS waliitoa ile thread baada ya kuanza kujisikia vibaya, kutokana na baadhi ya watu kuanza kumshutumu na kumshambulia kwa keyboard zao , ""eti kwanini alikubali kubakwa"" badala ya kumsaidia. SO binti akaomba Mods wamsaidie thread itolewe

do we need another evidence for the poor quality of our education?
 
Haya jamani ngoja nimtumikie mkoloni wangu sasa, baadaye
 

Hapo kwenye red mkuu, unaweza kunisaidia kizazi kinapasuka kwa sababu zipi?
Hapo kwenye black bibie alisema hajawahi kutoa mimba, pamoja na kwamba alikuwa na wazo hilo alipogundua ana mimba (hiyo iliyo haribika) lakin mama ake alimwambia asiitoe kwani Mungu hapendi, na watalea mtoto
 
Mkuu nilikosea kidogo ila nimei-edit,halafu sina uhakika kama sisi tuna hivi vitengo
 
Mie hata sielewi nini kinaendelea hapa ,ingawa naona ni maskitiko tu jamani ,Jtatu mbaya
Mungu aangaze nuru yake na kufanya miujiza kwa huyu dada Forgive na aamini hakuna nguvu yoyote hapa duniani inayozidu nguvu na mamlaka ya mwenyezi mungu
Sweetheart kuwa na amani ,kwa kupigwa kwake sisi tumepona ,na pazia la hekalu lilipopasuka ,ilikuwa ishala ya kufungua mahusiano yaliyoko mbiguni na duniani
,
 
Mkuu nilikosea kidogo ila nimei-edit,halafu sina uhakika kama sisi tuna hivi vitengo

Vitengo vyetu sisi ni Tume ambazo baadae hazitoi ripoti yoyote.
Jana ktk taarifa ya habari TBC wameripoti tukio la baba kubaka mtoto wake wa kumzaa na kumpa mimba kabisa, lakin Waziri anaishia kutoa mkwara tu kwamba watashughulikia wazazi wote wa aina hiyo. Baada ya siku 3 mada kuu itarudi dowans na Mabomu.
 

Ngoja nikuletee hailaiti kwa kifupi
 
Hii ndio highlight ya tukio @FL1


 

Tatizo lilikuwa uvimbe tu kwenye kizazi,nilikuwa napata maumivu wakati wote wa kukua kwa mtoto,sema sikuwa nakwenda kliniki kwa kuogopa kupimwa,nilipozidiwa na kuanza kutoka damu ndipo nilipoenda,wakasema ujauzito ulikuwa umeharibika muda tu na maumivu ni kwasababu ya uvimbe.baada ya kukatoa katoto nikakaa kama wiki tatu,kuongeza damu,wiki ya nne wakatoa huo uvimbe na kunisafisha.hawakuniambia kuwa sitazaa tena nami nina imani nitaweza,kaka CPU amefikiri hivyo kwa kuwa baadhi ya waliokuwa na tatizo kama langu hushauriwa kutoa kizazi kabisa au kupoteza ule uwezo wa kuzaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…