Pole sana mkuu, ila ungejua hata mimi kuporomosha maombi namna hiyo SIJAWAHI HATA SIKU MOJA, sio hapa jamvini tu kokote kule nilipowahi kuishi sijawahi. Nimekuwa tu na msimamo wangu wa upendo kwa watu na kutenda yaliyo mema tofauti na wengine ambapo anaweza kudhani mimi ni mlokole au mwana maombi mzuri sana, kumbe siko hivyo. Naamini ninaweza kufanya lolote nikiwa na imani, bila kujitambulisha kwa ulokole au vinginevyo. I believe and Trust in God, The Almighty
Mi nahisi ningekuwa nawajua angalau ni akina nani tu, ingetosha mimi kufanyanyia NITAKACHOWAFANYIA, hata kama anatembelea eskoti ya aina gani, ningesuka mpango mpaka ni . . . . . . . Aaaaaaaagrrrrrrrrrrrrrrrr