Kwa mwana JF mwenzetu FORGIVE na wengine wenye matatizo kama yake


Afadhali umekuja dada, na uendelee kuwa na imani hiyo kwa msaada wa roho mtakatifu. Bila shaka unajiandaa ukapime afya hospital
 

ni kweli singeweza kutokana na vitisho na hata kwa familia hawataki sifa ya kuwa na binti aliyewahi kubakwa.zaidi hasa kwa kesi ya kwanza sikupata akili ya kwenda polisi,nilienda tu nyumbani sikutoka kwa siku tatu na nilipomueleza ndugu kitu cha kwanza alienda nichukulia dawa ya kuogea kutoka kwa mganga nitoa mkosi.ni mama yangu aliosema,si wajibu wetu kulipiza,muachie Mungu,na baada ya muda nikasamehe.
 
Napenda sana nikushukuru cpu na wana jamiiforum wengine kwa upendo huu mkubwa.nitaenda pima na nitarudi kutoa ushuhuda vyovyote itakavyokuwa.nimepata nguvu kubwa sana juzi na jana na leo.mungu awabariki.tukumbuke pia kuwaombea wale wanaofanyiwa hivi,sipo peke yangu ninawafahamu wengine.na ipo siku mungu akinijalia nitaanza kituo kwa ajili ya kuwasaidia kimwili na kisaikolojia wanaopita nikakopita,wawe washindi kama mimi.nafurahi naweza hata kujitunza,wale walio nchi za vita je?wanaobakwa na wanajeshi au wengine na maisha yao magumu?tuwaombee pia.kuna mtu aliuliza katika kuchangia,kwamba ningeweza kupata ukimwi bila hata kubakwa,kweli inawezekana,ila mimi nilieleza tu ili nishauriwe kwa hali zote mbili.naomba niishie hapa kwa leo.
 


Ameeeeni!!!
The victory is yours in the name of Jesus!!!!!!
 

What a HEART TOUCHING MESSAGE . . ..
The Following 4 Users Say Thank You to forgive For This Useful Post:

CPU (Today), Keren_Happuch (Today), LD (Today), muhosni (Today)​
 
Napenda tu mjue kwamba nimepita hapa na nimesikitishwa sana na hii kadhia

Dada yangu FORGIVE, nikupe pole sana na kukushukuru kwa ujasiri wako

CPU, kweli umekuwa central processing, keep it up!
 
Napenda tu mjue kwamba nimepita hapa na nimesikitishwa sana na hii kadhia

Dada yangu FORGIVE, nikupe pole sana na kukushukuru kwa ujasiri wako

CPU, kweli umekuwa central processing, keep it up!

yES kOMRADE

les give for others, Almighty God will give us back
 
Amen, naongeza na ZABURI ya 121. Nitayainua macho yangu nitazame milima msaada wangu utatoka wapi?Msaada wangu ni katika bwana aliyeziumba mbingu na nchi.........
 
Amen, naongeza na ZABURI ya 121. Nitayainua macho yangu nitazame milima msaada wangu utatoka wapi?Msaada wangu ni katika bwana aliyeziumba mbingu na nchi.........

 

SIPIYU ndugu yangu, tuishie hapo kwa sababu kwa sababu kuna watu ambao wanaweza kuwa walipata experiences fulani fulani na wakaunganisha na maelezo yangu wakapatwa na hofu kwamba wana tatizo la kizazi. Pia nimechoka sana ndo natoka ofisini. Nashukuru Forgive hakupata Hilo tatizo. Kesho brother, nitawapene taarifa za kesi yetu dhidi ya Dowans
 

Ubarikiwe mpendwa na ahsante sana CPU kwa maombi yako mungu ni mkubwa na amini atatenda miujiza kwa binti huyu na wanajf wote wenye matatizo. Thread ya forgive ilinifanya nisahau kila kitu nikawa namwaza yeye siku zote hz, nikasema kumbe binadamu unaweza kujiona una matatizo kumbe wako wenye nayo makubwa zaidi. Naamini Bwana ataendelea kutenda miujiza yake. THANX
 

Ahsante mkuu,
Nakutakia usiku wenye amani
 
OMG,"If you cannot be a pencil to write anyone's happiness then you should at least try to be a nice rubber to erase someone's sadness" Hope wote wako vizuri by now
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…