Kwa mwanafunzi, hivi ni lazima uipende taaluma yako?

The choosen one1

Senior Member
Joined
Dec 13, 2023
Posts
104
Reaction score
436
Nikiwaza hili ni jambo nitakalokuwa nafanya kila siku asubuhi hadi jioni kipindi chote cha maisha yangu kama chanzo changu cha kipato na utambulisho wangu , inachosha!, uhuru kidogo, naona kama niko boxed kwenye maisha.

Inanilazimu kutafuta namna ya kuipenda hii taaluma ili niwe na moyo wa kujituma, maana hakuna namna nyingine.

Mwanzo nilijaribu kujichanganya kwenye biashara mbalimbali za mitandaoni ila hola, mwisho wa siku naona bila ajira hapo baadae maisha yangu yanaweza kuwa magumu zaidi hivo hakuna namna niongeze bidii kuipenda taaluma yangu.

Mlio kwenye utumishi tayari maoni yenu ni yapi.
 
Kwa muda mrefu shule inafyonza ujuzi wako wote mbadala, na kukufanya kuwa tegemezi kwenye ajira.
 
We penda bangi yako tu, inatosha!
 
Sasa kama ulikuwa hautaki kuwa daktari siuende kijijini kulima au uwe kama Kina Anko T?
Madogo wa Genz akili hamna kabisa aisee…
 
ungependelea taaluma yako aipende nani gentleman kwa mfano?🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…