Kwa mwanamke ambaye anataka kuzaa mtoto, lakini atamtunza yeye mwenyewe

Kwa mwanamke ambaye anataka kuzaa mtoto, lakini atamtunza yeye mwenyewe

fimboyaukwaju

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
6,699
Reaction score
9,323
Huu ni ujumbe kwa mwanamke ambae kapimwa ni mzima lakini hashiki mimba,pengine mwanaume wake ana dosari basi aje mimi ntamsaidia,kwa masharti yafuatayo:
1.sihitaji malipo
2.baada ya kushika mimba hatutakuwa na uhusiano wa kingono
3.tutapimwa magonjwa ya yote ya zinaa
4.ukubali kuwa age yangu ni sawa na baba yako,maana nina 64 kuelekea 65 na pia mie chotara wa kizungu
5.uwe tayari kwa gharama zako kuja mji nilioko na ni kwamba tutafanya iv hatutakutana kingono
Kama uko tayari njoo inbox
 
Attention seeker.
 
64 years badala ya kulea wajukuu wewe unaleta mada kama hizi.

Stupid Idiot
 
Wanawake wenye waume wasio na uwezo wa kutia mimba huwa wanajiongeza wenyewe, hutiwa mimba na mashemeji zao au washikaji zao wa nje na kisha huwazalia hao maboya yao kwa siri au kwa wazi na mchezo unaisha hivyo. Hakuna mwanamke anayeweza kumvumilia mume wake asiyeweza kumtia mimba, lazima atajazwa mimba na mwingine na kuja kuzalia ndoani. Wapo wanaume waliokubali kusaidiwa kutia mimba wake zao na wengine walizikimbia ndoa na kuacha wake waolewe na wengine wenye uwezo wa kutia mimba
 
Daah baada ya kuwaza watoto walelewe na wazazi wawili kwa upendo na wakue kwenye maadili mema ili wasije kuwa watu wa hovyo wewe ndio unataka kutengeneza watoto wa mtaani au umetumwa na Waganga mzala maana masharti ya waganga ni kiboko.
 
Attention seeker.
Am I looking for attention?Am I being paid if I get a lot of attention?Do you see me posting here frequently just to get the attention,no I am not,there are a lot of women looking for sperms donor out there,and that is what I am doing,attention inanisaidia nini? sina biashara,sitafuti kazi,maisha nimeyaishi vizuri mno,kazi nyingi nimefanya,nchini na nje ya nchi,Usitoe lawama,shutuma au tuhuma bila ushahidi wowote.Dunia hii ina mengi.Pia jitahidi kusoma posts zangu humu ndipo utajua kuwa mimi sihitaji attention bali nahitaji kutoa misaada tu.
 
Back
Top Bottom