fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,699
- 9,323
Attention seeker.Huu ni ujumbe kwa mwanamke ambae kapimwa ni mzima lakini hashiki mimba,pengine mwanaume wake ana dosari basi aje mimi ntamsaidia,kwa masharti yafuatayo:
1.sihitaji malipo
2.baada ya kushika mimba hatutakuwa na uhusiano wa kingono
3.tutapimwa magonjwa ya yote ya zinaa
4.ukubali kuwa age yangu ni sawa na baba yako,maana nina 64 kuelekea 65 na pia mie chotara wa kizungu
5.uwe tayari kwa gharama zako kuja mji nilioko na ni kwamba tutafanya iv hatutakutana kingono
Kama uko tayari njoo inbox
Huu ni ujumbe kwa mwanamke ambae kapimwa ni mzima lakini hashiki mimba,pengine mwanaume wake ana dosari basi aje mimi ntamsaidia,kwa masharti yafuatayo:
1.sihitaji malipo
2.baada ya kushika mimba hatutakuwa na uhusiano wa kingono
3.tutapimwa magonjwa ya yote ya zinaa
4.ukubali kuwa age yangu ni sawa na baba yako,maana nina 64 kuelekea 65 na pia mie chotara wa kizungu
5.uwe tayari kwa gharama zako kuja mji nilioko na ni kwamba tutafanya iv hatutakutana kingono
Kama uko tayari njoo inbox
Ana nyege kama za mtoto anae barehe mjinga huyoo.64 years badala ya kulea wajukuu wewe unaleta mada kama hizi.
Stupid Idiot
ππππUmbwa ya kizungu iko mawindoni ππ
Am I looking for attention?Am I being paid if I get a lot of attention?Do you see me posting here frequently just to get the attention,no I am not,there are a lot of women looking for sperms donor out there,and that is what I am doing,attention inanisaidia nini? sina biashara,sitafuti kazi,maisha nimeyaishi vizuri mno,kazi nyingi nimefanya,nchini na nje ya nchi,Usitoe lawama,shutuma au tuhuma bila ushahidi wowote.Dunia hii ina mengi.Pia jitahidi kusoma posts zangu humu ndipo utajua kuwa mimi sihitaji attention bali nahitaji kutoa misaada tu.Attention seeker.