Kwa mwanume bikra yoyote lazima kapitia hii hali njoo tujikumbushe kidogo

Kwa mwanume bikra yoyote lazima kapitia hii hali njoo tujikumbushe kidogo

Y prince

Member
Joined
Oct 4, 2019
Posts
27
Reaction score
45
Habari wakuu na moja kwa moja niende kwenye mada kwa mwanaume yoyote ambae ndo anaanza kushiriki tendo kwa mara ya kwanza ni lazima apitie fedhea hii.

Pindi anapo aanza kudumbukiza gogo kweny dimbwi ua anaskia raha kupita kiasi na haichukui dakik 1 tayl unaluta kashautupa na wenhine ni chini ya sekunde 30 unakuta tayal kautupa na kutokana na wengine kutokua na udhoefu ndo mara yao ya kwanz ahujikuta wakirudhika na kuvaaa surual mbele

Sasa mbaya zaid huyu mtu huja kujigundua kua aliwahi kumwaga mapema sana na hali hiyo humfanya kukosa kujiamin kabisa na kuhis oengine ye ni mbovu, hali hiyo pia humfamya apate hofu pindi anapokutana na chaka lingine ambalo liko tayali kuliwa akibak anahofia pengine ataemda kudharirika na akijikaza akaenda penguins ne hali inakua ni hiyo hiyo.

Ila sasa mtu huyu atakapo endelea kukutana na ma binti mara 3 au 4 hujikuta akianza ku perform vyema na akifurahia.

Nihitimishe na kusema hii hali najua tumepitia wengi na sijui ni sababu gani inafanya mwanaume bikra kwa mara ya kwanza ashindwe ku perform na awahi kukitupa pindi tu anapodumbukizwa guu kweny besen la bidada

NB: Zinaa na haram naongea na wanandoa tu japo mimi sijaoa😂

Tupe hadith yako kama uliwahi kupitia hii aibu au fedheha hii mara yako ya kwanza
 
Mimi kwa mara ya kwanza, nilikuwa mkubwa tu, cha ajabu nilichelewa dakika 40 hadi nikajishangaa kwanini sikojoi, jasho linatutoka hadi linakauka lakini wapi, hadi demu akachoka. Siku zilivyoendelea ndo ikaisha hiyo hali, huwa inajitokeza mara chache, hakuna kitu kinakera kama unatamani ukojoe afu bao haliji, demu hadi analalamika.

Nikaenda hospitali kulalamika inakuwaje nachelewa kukojoa, daktari anasema huo ni ugonjwa japo wengine wanatamani nao waugue aina hiyo ya ugonjwa.
 
Back
Top Bottom