Kwa mwelekeo wa uchumi Tanzania 'Toyota Aqua' mbioni kudondosha soko la 'Toyota ist'

Gari iliyopo kwenye maficho haipigiki picha inafichama nini
 
Kwa distance gani? Na pia si Ina depend Kama battery Ina chaji ya kutosha
yes ukisoma hapo kwenye maelezo yangu nimesema, hilo...battery health pia ina determine distance gari inaweza
Sh ngap inauzwa ya mwaka gani nimnunulie wife ,, maana mizunguko yake siielewi siku hizi

Sijui Ni anasambaza nyapu

..
milion 14 unapata prius 2004, 2005,2006 mpaka 2009, but ya 2010 plus imechangamka kidogo.
 
[emoji1787] Prado ni gari kweli ile si acha tujifichemo kwenye soap dish zetu
Hahah, haya bwana, eti soap dish...but still maisha haya si ya kufanya kitu ili ui impress watu wakati deep inside unaumia..so wise financial decision ni kufanya jambo lenye least cost but high satisfaction/high value creation (principal ni ni ndogo tu ukiona gari inachukua zaidi ya 40% ya kipato chako, basi paki hilo gari haraka sana lasivo utapiga mark time hapa mjini). So niwewe tu na maisha unayoamua kuishi...yaan unajichagulia stress unayoweza midu. Hahah.
 
Aisee..
 
Gereji ya wajapan inaitwaje?ilala kubwa ..ilala ipi?
 
Umepiga mwingi sana...
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Nakubali mkuu. Ila J150 yako yenyewe kweli au ya mchongo toka kwa dicksaundi?
 
Nawasihi watu wakupe heshima yako
 
Picha yake ndio hii mkuu??
 
yes ukisoma hapo kwenye maelezo yangu nimesema, hilo...battery health pia ina determine distance gari inaweza

milion 14 unapata prius 2004, 2005,2006 mpaka 2009, but ya 2010 plus imechangamka kidogo.
Bado hujanijibu inaenda umbali gani kwa battery tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…