Mie nina vitz pia,,, vitz old au new inayokuja na engine ya 2sz (yenye cc 1298) na gearbox ya cvt ipo very efficient kuliko IST, ipo fast acceleration kuliko ist hata baadhi ya gari kubwa zenye traditional automatic gear box, ina electric steering wheel ambayo ipo very direct, light na responsive kuliko IST, vitz inayokuja na engine hii hasa old ina boot space kubwa na adjustable (yaan kiti cha nyuma kinasogea mbele na kurudi nyuma na pia viti vina lala tofauti na ist ambayo vitz vyake vina lala tu ili kuadjust boot/trunk size..
Vitz hii old yenye 2sz engine it has very proper climate control system ambayo ni self regulating kulingana na temperature...so kwa watu wanaopenda air conditioning system ambayo iko beyond normal (yaan climate control system kama mie vitz hii kwangu ni option ndo maana i went for before buying Prius that has same feature kwenye climate control)
Vitz hii ipo na spot button ambayo kwa wapenda mbio hii ni useful feature ambayo huwezi pata kwa ist...
Engine ya vitz 2sz ina higher compression ratio compared to 2nz engine hivo power delivery ya engine 2sz ipo ya haraka at low rpm compared to 2nz engine...so hata vitz inayokuja na engine ya 2nz nayo inakosa baadhi ya features nziri zinazotokana kwenye same car but with different power train ( engine na gear box)
Nacho taka address hapa ni kwamba buying car goes beyond just buying tu, people should know what they want and how the car to be purchased will meet their needs. Epuka nunua gari kwa mihemko au fashion..know what you are buying (ingawa this is not a case kwa Tanzania, buying behavior zetu tunazijua wenyewe)