Kwa mwendo huu simba tutafika kweli?

Poa, ila wasi wasi ndiyo akili
 
Hii si post Ya Mshabiki/Mwanachama/Mpenzi Wa Simba! Wala si Post Ya Mtu Anaejua Mpira.....
Ni Post Ya YeboYebo Aliyekuja Kwa Style Nyengine tu.....
Achana na Simba! Unaeishiwa Pumzi Ni Wewe 4G FC na Wala Sio Simba imara inayosubiri Kusherehekea Ubingwa......
 
mmeanza kukanana mapema hivi?angalia msijeng'oana meno huko mbeleni.
 

Tatizo ni kwamba Okwi kwa sasa hayupo kikosini. Ila tusubiri anakuja. Okwi ndio muarobaini wa matatizo yote Simba!!!
 
Muulize kichuya

Picha ipi mnaipata kwa katibu patrick kihemela kurudi azam kabla ya mechi ya simba mbovu vs azam!!!!!

inawezekana kihemela baada ya kwenda azam akamuambia John boco ukitakaka kufunga bao pitia kwa mwanjali.

Ahhhhaaaaa
 
Simba amebakiza mechi 1 tu ngumu lakini Yanga amebakiza mechi 3 ngumu, kwa mahesabu ya haraka simba bingwa.
 
Simba amebakiza mechi 1 tu ngumu lakini Yanga amebakiza mechi 3 ngumu, kwa mahesabu ya haraka simba bingwa.
hesabu za ubingwa Ni kila mechi Ni ngumu,kila mechi cheza kama fainali nyie mnaiwaza yanga Tu poleni itakula kwenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…