Kwa mwendo huu wa Zuchu, kweli ni haki H-Baba kulalamika na kusema vile kuhusu Nandy

Kwa mwendo huu wa Zuchu, kweli ni haki H-Baba kulalamika na kusema vile kuhusu Nandy

Nandy ni female version of Kibakuli.... nampenda huyu dem ila amekua mpumbavu sana nae sikuhizi... nahisi wanashauriana na kiba.
Hana kitu kajiinguza mwenyewe mkenge eti Mara kiba Mara konde mbona yatamkuta
 
Definitely Zuchu ndio ataenda kushika ushukani na atakuwa threat hata kwa Wasanii wakiume cos anajuhudi na Kasi hii akiendelea nayo atazidi kuwa mkubwa Sana.All in all ngoma yake ya nobody aliyotoa leo Ni bonge la ngoma naona nae ameanza kuimba kizungu
fact kaka zuchu now wa moto hatari, so in short wajipange
 
Litawachoma ft Diamond Platnumz

Cheche ft Diamond Platnumz

Nobody ft Joeboy.

Hakuna jipya wala ubunifu wowote kwenye hizo ngoma 3. Hizo zote ni nyimbo za ku-underground.

Kwa hapa tz zitakamata kwa muda, ila kimataifa asahau.
Unforgetable
kimataifa gani Tena kenge mkubwa wewe, cheche number 83 billibord worldwide, audiomack top 20 trending, apple litawachoma number 1 na cheche 2 Sasa unazungumzia Nini..? hizo zote ni international that's why yupo kwenye Grammy consideration [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwani Kigoma independent na wewe ni ndugu au Ntu(mtu) mmoja?
Ni watu wawili tofauti uoni hata uandishi wangu na wake Ni tofauti au kinachokufanya useme hivyo Ni Hilo neno Independent kufanana?
 
Zuchu lebo inambeba ila Nandy nyimbo zake hit songs kweli kweli .

Zuchu yuko vizuri zaidi live performance ila nandy live ni aibu hata sauti ni shida
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hit songs kwa kigezo gani...? streams, viewers au Nini maana kwa nandy hakuna amechofanya kumzidi zuchu tangu aanze kuimba maybe skendo, Kiki na umri Basi, mengine tunasema hail to the new queen of bongo flavor ZUCHU.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hit songs kwa kigezo gani...? streams, viewers au Nini maana kwa nandy hakuna amechofanya kumzidi zuchu tangu aanze kuimba maybe skendo, Kiki na umri Basi, mengine tunasema hail to the new queen of bongo flavor ZUCHU.
Wewe umejawa na ushabiki kwahiyo huwezi kubalance ila hayo ndo mawazo yangu
 
Innocent dependent A.K.A Mose Iyobo kwenye ubora wako.

Tuje kwenye mada ukweli kwa sasa huyu binti anajitahidi ingawaje lebo inachangia kwa kumbrand vizuri.Haters watasema kua anabebwa na diamond lakini ajabu diamond hamuimbii Zuchu ,bali huimba kwa koo lake mwenyewe asibweteke kama Rayvanny apambane afike mbali zaidi kikubwa asilete mashindano na mtu atapotea afanye mziki wa kwake maana hata Harmonize alipokua WCB alitoa ngoma kali sana ambazo alikua akifanya mziki wake lakini alipotoka tu WCB na kuanza mashindano kwa show off nyimbo nzuri za kuokoteza.
rayvanny kafanyeje...? unazania kunamsanii wa kike anaweza kushindana na zuchu/WCB akawin yaani nandy akijaribu tu kushindana na zuchu tunamzika mazima Kama alivyomfanyia Ruby wa watu.
 
WCB kupromote wasanii wao wako vizuri kuliko lebo zingine ,msanii hata akiwa na uwezo mdogo atakuwa star tu na akiwa star nyimbo zake zitasikika ,nandy anabebwa na clouds but promo za clouds hazifikii za wasafi
sasa kwani wamekatazwa, so WCB ni kubwa kuliko clouds kwa maana hiyo si ndio kaka Viol[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Habarini Wana jamvi...?

Aise inapofikia swala la mtu kupewa heshima haina budi kumpatia heshima yake, yaani kwa anachokifanya Zuchu kwa Sasa haina haja ya kusimuliwa ili uamini, maana kafanya kila kitu Kama msanii/mwanamziki ambaye yupo kwa gemu zaidi ya miaka 4+ yaani ni wamoto balaaah hapoi na Wala haboi.

Hivi unadhania kwa mwendo huu, watu Kama kina Hmama ahaaaaaaaaah sorry Hbaba wataacha kusema kuwa Zuchu ameletwa ili kumshusha Nandy..? of course perspectives za hivyo haziepukiki lakini kwenye MZIKI hakunaga ndumba Wala uchawi, hard work pays,na kazi zake kweli zinaonekana kabisa,Sasa nandy kakalia Kiki now Mara kwa kiba na Mara kwa konde ,yaani akijiingiza kwa huu msemo iki ajenge beef walahi atapotea na tutamsahau Kama upepo

sasa, nawashauri wale wanaomzodoa wakasikikize verse ya professor Jay," ili nifanikiwe na hitaji marafiki na ili nifanikiwe zaidi naitaji maadui" so zuchu anakuhitaji wewe unayemchukia na kumpinda zaidi ili atusue,ko endeleeni .

HAIL TO THE NEW QUEEN OF BONGO FLAVOR RIGHT NOW , ZUCHU THE QUEEN.

NO BODY: Zuchu ft Joe Boy in all digital platforms.
Zuchu ndiyo nani mkuu?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Ni watu wawili tofauti uoni hata uandishi wangu na wake Ni tofauti au kinachokufanya useme hivyo Ni Hilo neno Independent kufanana?
afu wewe ni dependent na Mimi ni independent, mbona iko wazi sana tu hiyo, sema Wana complicate sana , afu Mimi ni wamasihara sana but wewe ni wa serious sana over.
 
Back
Top Bottom