Kwa mwendo huu wa Zuchu, kweli ni haki H-Baba kulalamika na kusema vile kuhusu Nandy

Kwa mwendo huu wa Zuchu, kweli ni haki H-Baba kulalamika na kusema vile kuhusu Nandy

Bongo fleva have only only Queen, Lady Jay Dee
Habarini Wana jamvi...?

Aise inapofikia swala la mtu kupewa heshima haina budi kumpatia heshima yake, yaani kwa anachokifanya Zuchu kwa Sasa haina haja ya kusimuliwa ili uamini, maana kafanya kila kitu Kama msanii/mwanamziki ambaye yupo kwa gemu zaidi ya miaka 4+ yaani ni wamoto balaaah hapoi na Wala haboi.

Hivi unadhania kwa mwendo huu, watu Kama kina Hmama ahaaaaaaaaah sorry Hbaba wataacha kusema kuwa Zuchu ameletwa ili kumshusha Nandy..? of course perspectives za hivyo haziepukiki lakini kwenye MZIKI hakunaga ndumba Wala uchawi, hard work pays,na kazi zake kweli zinaonekana kabisa,Sasa nandy kakalia Kiki now Mara kwa kiba na Mara kwa konde ,yaani akijiingiza kwa huu msemo iki ajenge beef walahi atapotea na tutamsahau Kama upepo

sasa, nawashauri wale wanaomzodoa wakasikikize verse ya professor Jay," ili nifanikiwe na hitaji marafiki na ili nifanikiwe zaidi naitaji maadui" so zuchu anakuhitaji wewe unayemchukia na kumpinda zaidi ili atusue,ko endeleeni .

HAIL TO THE NEW QUEEN OF BONGO FLAVOR RIGHT NOW , ZUCHU THE QUEEN.

NO BODY: Zuchu ft Joe Boy in all digital platforms.
 
Ngoja apate bwanake tutaona kama ataendelea kuwa mkali kama alivyo sasa hivi
 
Utakuta kuna wanaume pia wanawivu juu ya mafanikio ya muziki wa Zuchu, miziki yake iko unique sana ndo maana kashika masikio ya watu ndani ya muda mfupi....
 
Kwa Mwaka huu uiktoa Nyimbo hizi Ex Boyfrend,Vumilia,Mama la mama na Teamo anazoimba zingine zote utopolo ameanza kupoteza ladha ya mziki mzuri.
rayvanny kafanyeje...? unazania kunamsanii wa kike anaweza kushindana na zuchu/WCB akawin yaani nandy akijaribu tu kushindana na zuchu tunamzika mazima Kama alivyomfanyia Ruby wa watu.
 
Mtu mmoja ila rangi tofauti hongera boss kwa kua kinyonga...msalimie Zuchu hapo usafini.
Ni watu wawili tofauti uoni hata uandishi wangu na wake Ni tofauti au kinachokufanya useme hivyo Ni Hilo neno Independent kufanana?
 
Back
Top Bottom