Kwa mwendo huu wa Zuchu, kweli ni haki H-Baba kulalamika na kusema vile kuhusu Nandy

Nandy ni female version of Kibakuli.... nampenda huyu dem ila amekua mpumbavu sana nae sikuhizi... nahisi wanashauriana na kiba.
Hana kitu kajiinguza mwenyewe mkenge eti Mara kiba Mara konde mbona yatamkuta
 
fact kaka zuchu now wa moto hatari, so in short wajipange
 
Litawachoma ft Diamond Platnumz

Cheche ft Diamond Platnumz

Nobody ft Joeboy.

Hakuna jipya wala ubunifu wowote kwenye hizo ngoma 3. Hizo zote ni nyimbo za ku-underground.

Kwa hapa tz zitakamata kwa muda, ila kimataifa asahau.
Unforgetable
kimataifa gani Tena kenge mkubwa wewe, cheche number 83 billibord worldwide, audiomack top 20 trending, apple litawachoma number 1 na cheche 2 Sasa unazungumzia Nini..? hizo zote ni international that's why yupo kwenye Grammy consideration [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwani Kigoma independent na wewe ni ndugu au Ntu(mtu) mmoja?
Ni watu wawili tofauti uoni hata uandishi wangu na wake Ni tofauti au kinachokufanya useme hivyo Ni Hilo neno Independent kufanana?
 
Zuchu lebo inambeba ila Nandy nyimbo zake hit songs kweli kweli .

Zuchu yuko vizuri zaidi live performance ila nandy live ni aibu hata sauti ni shida
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hit songs kwa kigezo gani...? streams, viewers au Nini maana kwa nandy hakuna amechofanya kumzidi zuchu tangu aanze kuimba maybe skendo, Kiki na umri Basi, mengine tunasema hail to the new queen of bongo flavor ZUCHU.
 
Wewe umejawa na ushabiki kwahiyo huwezi kubalance ila hayo ndo mawazo yangu
 
rayvanny kafanyeje...? unazania kunamsanii wa kike anaweza kushindana na zuchu/WCB akawin yaani nandy akijaribu tu kushindana na zuchu tunamzika mazima Kama alivyomfanyia Ruby wa watu.
 
WCB kupromote wasanii wao wako vizuri kuliko lebo zingine ,msanii hata akiwa na uwezo mdogo atakuwa star tu na akiwa star nyimbo zake zitasikika ,nandy anabebwa na clouds but promo za clouds hazifikii za wasafi
sasa kwani wamekatazwa, so WCB ni kubwa kuliko clouds kwa maana hiyo si ndio kaka Viol[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Zuchu ndiyo nani mkuu?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Ni watu wawili tofauti uoni hata uandishi wangu na wake Ni tofauti au kinachokufanya useme hivyo Ni Hilo neno Independent kufanana?
afu wewe ni dependent na Mimi ni independent, mbona iko wazi sana tu hiyo, sema Wana complicate sana , afu Mimi ni wamasihara sana but wewe ni wa serious sana over.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…