Kwa mwenendo huu Diamond tutamsahau baada ya miaka miwili ijayo

Mbona unaropoka unapngea bila fact? Ukisema anashuka sema kwa supportive evidences, fact and data. Hakunaga habari za kwamba hata wewe unaona tunaona nini? Ikiwa huko duniani kwenye music platforms yeye ndiye kinara. Deals kama zote we kama shabiki kaa kwa kutulia ataachia kibao unachokikubali kukata kiu yako. Kwasasa hivi vibao viliyoachiwa havikua kwaajil yako.
 
ACHENI KUJIDANGANYA, ATAPOROMOKA ENDAPO "MAAGANO ALIYOFANYA NA WAJENZI HURU" ATAYAVUNJA ILA KWA SASA NYOTA YA UMAARUFU NA BIASHARA INAMUENDEA VYEMA
 
Mimi sishuhudii uwongo,,,Ngoma 5 hizo zipi zilizobuma? Diamond ana consistency ya hali ya juu sana... Unataka kusema Iyo imebuma? Naanzaje nayo imebuma? ..huyu jamaa hawezekaniki... Kaanza kudisiwa tangu 2012 uko kua hatoboi
2012 kipindi huyu mleta mad alikuwa anagongea smartphone kwa dada yake akija kuwatembelea wakati wa Christmas.
 
Mwaka wa 9 huu tunaambiwa baada ya miaka miwili ataanguka kimuziki!!

Imekuwa kama ujio wa Yesu sasa, tumechoka kusubiri mshusheni haraka basi!!
 
Hayupo wa kumshusha bali anajishusha mwenyewe.
 
Umetumia kigezo gani?

Je ana streams ngapi?
Je kapiga show ngapi?
Nomination mwaka huu anazo ngapi?

Atleast ungebase huko tungepata picha halisi. Ila sio mbaya hii ya jamaa kutabiriwa kushuka, hii thread nahisi itakuwa ya 100,tokea 2012 mnatabiri ila endelea kutabiri.
Una ujua mziki lakini muda mwingine unaongea pumba! Nani aliyesema streams ndio kigezo cha mziki wako kupendwa? Kuna msanii hapa Bongo anamzidi kwa fanbase Diamond?

Kama nyie ndio mpo jirani naye basi mnamuingiza chaka mshikaji, ukiachana na Iyo hakuna ngoma yake yoyote iliyosumbua nje ya mipaka!

Mwambieni akubali kuandikiwa au afocus kwenye biashara, kimziki ashafanya karibu kila kitu ni muda wake wa kulinda jina lake kwa mgongo wa biashara.
 
Kwa maaelezo yako yanakubaka mwenyewe kama mtu ana fanbase kubwa na still inamsapoti na mambo yake yanaenda utasemaje anashuka? Mtoa mada kaongea vitu vingi bila fact na evidence diamond ndio msanii mpaka sasa anaongoza kuwa ambassador wa makampuni makubwa, ndio msanii aliyepata show nyingi kuliko msanii yoyote, ndie mwenye stream za mauzo mengi,ndio video zake vimetazamwa Mara nyingi kuliko any artist, ndio msanii mwenye tuzo nyingi alizopata za nje mwaka huu kuliko yoyote.Unaposema kashuka kwa vigezo vingi? Na kama ni hivyo ndio kushuka vipi wasanii Wana hali gani?
 
Una ujua mziki lakini muda mwingine unaongea pumba! Nani aliyesema streams ndio kigezo cha mziki wako kupendwa? Kuna msanii hapa Bongo anamzidi kwa fanbase Diamond?

Kama nyie ndio mpo jirani naye basi mnamuingiza chaka mshikaji, ukiachana na Iyo hakuna ngoma yake yoyote iliyosumbua nje ya mipaka!

Mwambieni akubali kuandikiwa au afocus kwenye biashara, kimziki ashafanya karibu kila kitu ni muda wake wa kulinda jina lake kwa mgongo wa biashara.
i second you bro
 
Back
Top Bottom