History-Victory
JF-Expert Member
- Sep 11, 2021
- 326
- 733
Tupe tafsiri ya ngoma kubuma inakuaje?Nyimbo zote ulizotaja hapo zote zimebuma huwo ni ukweli usio na chuki ndani yake period.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupe tafsiri ya ngoma kubuma inakuaje?Nyimbo zote ulizotaja hapo zote zimebuma huwo ni ukweli usio na chuki ndani yake period.
tuzo gani izo unazosema ww?Kwa maaelezo yako yanakubaka mwenyewe kama mtu ana fanbase kubwa na still inamsapoti na mambo yake yanaenda utasemaje anashuka? Mtoa mada kaongea vitu vingi bila fact na evidence diamond ndio msanii mpaka sasa anaongoza kuwa ambassador wa makampuni makubwa, ndio msanii aliyepata show nyingi kuliko msanii yoyote, ndie mwenye stream za mauzo mengi,ndio video zake vimetazamwa Mara nyingi kuliko any artist, ndio msanii mwenye tuzo nyingi alizopata za nje mwaka huu kuliko yoyote.Unaposema kashuka kwa vigezo vingi? Na kama ni hivyo ndio kushuka vipi wasanii Wana hali gani?
nenda boomplay kaangalie ngoma ambayo imesikilizwa sana usiku mwaka hu ni ipi utakuta naanzaje imebuma wapi? iyo imebuma wapi?Nyimbo zote ulizotaja hapo zote zimebuma huwo ni ukweli usio na chuki ndani yake period.
Unajua maana streams,mbona Madona ana fanabase kubwa kuliko Drake, ila Drake anampita kwa streams?Una ujua mziki lakini muda mwingine unaongea pumba! Nani aliyesema streams ndio kigezo cha mziki wako kupendwa? Kuna msanii hapa Bongo anamzidi kwa fanbase Diamond?
Kama nyie ndio mpo jirani naye basi mnamuingiza chaka mshikaji, ukiachana na Iyo hakuna ngoma yake yoyote iliyosumbua nje ya mipaka!
Mwambieni akubali kuandikiwa au afocus kwenye biashara, kimziki ashafanya karibu kila kitu ni muda wake wa kulinda jina lake kwa mgongo wa biashara.
Nyimbo zipi zimeangukia pua MkuuWw mwenyewe na shuhuda je huoni kama diamond huyu siyo yule tuliyekuwa tunamfahamu wa miaka miwili iliyopita.
Diamond wa kutoa nyimbo zaidi ya tano kwa mwaka mmoja na zote ziangukie pua, inasikitisha.
🤣🤣🤣Chanzo cha stress za mtoa mada...usha solve hiz shida zako kwanza? View attachment 2060170
Mtoa mada kapigwa na kitu kizitoMtoa mada umezodoka
Nimepitia huo Uzi ni WA 2014.. 75% ya wachangiaji walikubalina na mtoa Uzi.. kuwa baada ya Wimbo wa Mdogomdogo A.K.A kitoronto Diamond Angepotea. Ni miaka 8 Sasa Tangu Uzi huo uje hapa na Jamaa yupo Sana.. hivyo Sishangai kabisa hata huu..
Kuna siku atapotea kimuziki lakini sio leo au kesho. Labda miaka 5 ijayo hivi. Ila napo hatafulia kama wakina Mr Nice sema atakua tu hana jina.Nimepitia huo Uzi ni WA 2014.. 75% ya wachangiaji walikubalina na mtoa Uzi.. kuwa baada ya Wimbo wa Mdogomdogo A.K.A kitoronto Diamond Angepotea. Ni miaka 8 Sasa Tangu Uzi huo uje hapa na Jamaa yupo Sana.. hivyo Sishangai kabisa hata huu..
Hakuna kisicho kua na mwishoDiamond yupi?? mara ya kwanza nasikia haya maneno ni 2015 mpaka leo yupo kwa hewa ili ashuke inabidi mmoja apande tatizo wa kupanda kumzidi hayupo.
So wacha tuendelee na ,msanii wetu maana nahofia siku akishuka na mziki wa bongo kwenda mbele utaishia hapo.
Sasa tutumie njia gani kumshusha huyu kijana, maana kila tukitabiri tunafeliNimepitia huo Uzi ni WA 2014.. 75% ya wachangiaji walikubalina na mtoa Uzi.. kuwa baada ya Wimbo wa Mdogomdogo A.K.A kitoronto Diamond Angepotea. Ni miaka 8 Sasa Tangu Uzi huo uje hapa na Jamaa yupo Sana.. hivyo Sishangai kabisa hata huu..