Muziki nisayansi ya hisia .. biashara ni sayansi ya fursa .. sijui mtoa mada umemaanisha nini nikisema muziki ni hisia
Namaanisha unaweza kupiga mluzi tu nauka burudisha watu itategemea huo mluzi unaupigaje .. ukija kwenye mashairi ataizo nyimbo za nje USA na kwengineko huimba vitu vya hovyoo na ngoma zinaingia trends adi bongo mnazisifia sijui kwavile amuelewi lugha ..
Ukiangalia wasanii wakubwa karibia wote USA ni vitu vi 3 tu ndo huzumzwa kwenye ngomazao ni Money , sex , drugs .. utasikia I got new bitch .. I got chains .. I got 1m $ in my crib hayo ndo mambo huzungumzwa
Back in business diamond hua namuita kiraka kumbuka anauwezo wakuimba style yoyote ya mziki na ndio silaa ya mafanikio yake watu tunatofautiana favorites kwaiyo nikiwa shabiki wa R&B aimanishi sipendi hip hop aimanishi pia sipendi Singeli ..
Ukiwa mfanya biashara lazima uakikishe bidhaa yako inafika popote pale diamond anajua Kuna makundi ya madancers duniani ivyo kaamua kutoa ngoma only for dancing ..
Hivi diamond angekuwa wapi Leo endapo angetoa kila ngoma yake I sound Kama nenda kamwambie si tungekua tumesha msaau ? Yuko wapi mo music leo ? Unajua kilicho mpoteza aslay ?
Ukisema wasafi media inafeli umesha fanya takwimu ukagundua ni kias gani wasafi huingiza kwa mwezi kupitia contents za you tube ? Vp kuusu sponsors je ?
That's business my brother usitake kila media I behave Kama TBC ..
Diamond ni star mkubwa nashangaa mnataka uzushi ndo iwe reality zuchu hawezi oana na diamond never .. unajua nchi ina online tv ngapi ? Unafkir watatoa taharifa zawakulima na wafugaji ? Wote hukimbilia WCB kupata chochote chaku post either ni uzushi au interviews za wasafi media nk..
Kuna ngoma diamond anaachia ambazo ni za album tayar na soon ataachia album rasmi alafu baadae utapiga hesabu ya mauzo ya iyo album ..
I mean album ikitoka siyo chini ya ngomba 5 au 7 zitakuwa tayar natreams na viewers over 10m because huwezi toa nyimbo zaidi ya 15 kibongo bongo kwamkupuo zitakazo fanikiwa kwenye mauzo zitakuw chache ..
Waulize weusi , darasa , nk kwaiyo diamond akitoa album nyimbo kibao zitakua popular siyo nchini tu adi nje ya bongo ukianzia kwenye iyoo , kamata, naanzaje,unachezaje ...
Na zoteizo zina sound tofauti zina vibe tofauti .. that's chibu .. I hope kwenye album yake amtakosa singeli ata moja ..
Msiwe ma haters .. wasanii wametofautiana ..
Sent from my Infinix X624 using
JamiiForums mobile app