Kwa mwenendo wa Ligi Simba ni Bingwa NBC - Na refa ndo atatoa penalt za ushindi mechi ya derby

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2010
Posts
1,364
Reaction score
2,396
Kwa mwenendo wa ligi kuu ya benki ya nbc unavyoondelea bila shaka kila mmoja ameona , na anaweza kuona kuwa bingwa tayari anajulikana.

Ni hivi kabla ya derby simba atakuwa na point 78 na yanga atakuwa na point 79 hivyo mshindi ataamuliwa na mechi derby , ambayo pia mechi hiyo itaamuliwa na maamuzi mabaya ya Refa, ambapo atatoa penalt ya kujiangusha kwa mchezaji wa Simba , na Mpanzu atafunga penalt hiyo dhidi ya diara, ambapo simba atamaliza mechi na ushindi wa bao moja dhidi ya Yanga.

Na simba atachukua ubingwa kwa point 81 dhidi ya 79 kwa goli la penalt. Na refa wa mchezo huu anaweza kuwa kefa kayombo, na kauli yao ya ubaya ubwela kuhitimishwa hapa
 
Wachambuzi wameharamisha penalties zote za Simba bila kujali uhalisia wa matukio uwanjani.

Mechi dhidi ya Simba zimekuwa na tension kubwa sababu ya timu pinzani kuahidiwa vitita.

Penalty na kadi mtaziona sana tu hata refa atoke Mars!
 
Aliewaza/kuja na slogan hii ni hatari sana
Kuna jambo lilitokea siku ya kushinda goli 5 kwa 1. Na itahitimishwa ubaya ubwela siku ya derby. Kuna watu wataanguka kwa presha uwanja wa taifa
 
iyo mechi itakuwepo kama bodi ya ligi watajiuzuru na refa atoke nje achana na hawa mapunguani wa humu
 
Hii derby yanga wasikubali kwa marefa wetu hawa nooo, tutaingia uwanjani na bisi bisi
 
Kwa mwenendo wa ligi kuu ya benki ya nbc unavyoondelea bila shaka kila mmoja ameona , na anaweza kuona kuwa bingwa tayari anajulikana.

Ni hivi kabla ya derby simba atakuwa na point 78 na yanga atakuwa na point 79 hivyo mshindi ataamuliwa na mechi derby , ambayo pia mechi hiyo itaamuliwa na maamuzi mabaya ya Refa, ambapo atatoa penalt ya kujiangusha kwa mchezaji wa Simba , na Mpanzu atafunga penalt hiyo dhidi ya diara, ambapo simba atamaliza mechi na ushindi wa bao moja dhidi ya Yanga.

Na simba atachukua ubingwa kwa point 81 dhidi ya 79 kwa goli la penalt. Na refa wa mchezo huu anaweza kuwa kefa kayombo, na kauli yao ya ubaya ubwela kuhitimishwa hapa
Angalia tena ratiba ya ligi halafu urudi tena ufanye upya mahesabu yako
 
Screenshot (108).png
 
Back
Top Bottom