Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 10,703
- 11,816
Unaongelea dabi ipi,😎😎😎😎😎Kwa mwenendo wa ligi kuu ya benki ya nbc unavyoondelea bila shaka kila mmoja ameona , na anaweza kuona kuwa bingwa tayari anajulikana.
Ni hivi kabla ya derby simba atakuwa na point 78 na yanga atakuwa na point 79 hivyo mshindi ataamuliwa na mechi derby , ambayo pia mechi hiyo itaamuliwa na maamuzi mabaya ya Refa, ambapo atatoa penalt ya kujiangusha kwa mchezaji wa Simba , na Mpanzu atafunga penalt hiyo dhidi ya diara, ambapo simba atamaliza mechi na ushindi wa bao moja dhidi ya Yanga.
Na simba atachukua ubingwa kwa point 81 dhidi ya 79 kwa goli la penalt. Na refa wa mchezo huu anaweza kuwa kefa kayombo, na kauli yao ya ubaya ubwela kuhitimishwa hapa
Kwani itachezwa?... hivyo mshindi ataamuliwa na mechi derby ,
Mpanzu siku hiyo penalti yake atamfunga goalkeeper KARIA.Kwa mwenendo wa ligi kuu ya benki ya nbc unavyoondelea bila shaka kila mmoja ameona , na anaweza kuona kuwa bingwa tayari anajulikana.
Ni hivi kabla ya derby simba atakuwa na point 78 na yanga atakuwa na point 79 hivyo mshindi ataamuliwa na mechi derby , ambayo pia mechi hiyo itaamuliwa na maamuzi mabaya ya Refa, ambapo atatoa penalt ya kujiangusha kwa mchezaji wa Simba , na Mpanzu atafunga penalt hiyo dhidi ya diara, ambapo simba atamaliza mechi na ushindi wa bao moja dhidi ya Yanga.
Na simba atachukua ubingwa kwa point 81 dhidi ya 79 kwa goli la penalt. Na refa wa mchezo huu anaweza kuwa kefa kayombo, na kauli yao ya ubaya ubwela kuhitimishwa hapa
😂😂😂😂Mpanzu siku hiyo penalti yake atamfunga goalkeeper KARIA.
Diara na wachezaji wenzake wa Yanga na wanachama siku hiyo watakua na program tofauti nje ya Dar es Salaam.
Ungetamani achezeshe nani kwenye hiyo mechi?Kwa mwenendo wa ligi kuu ya benki ya nbc unavyoondelea bila shaka kila mmoja ameona , na anaweza kuona kuwa bingwa tayari anajulikana.
Ni hivi kabla ya derby simba atakuwa na point 78 na yanga atakuwa na point 79 hivyo mshindi ataamuliwa na mechi derby , ambayo pia mechi hiyo itaamuliwa na maamuzi mabaya ya Refa, ambapo atatoa penalt ya kujiangusha kwa mchezaji wa Simba , na Mpanzu atafunga penalt hiyo dhidi ya diara, ambapo simba atamaliza mechi na ushindi wa bao moja dhidi ya Yanga.
Na simba atachukua ubingwa kwa point 81 dhidi ya 79 kwa goli la penalt. Na refa wa mchezo huu anaweza kuwa kefa kayombo, na kauli yao ya ubaya ubwela kuhitimishwa hapa
😀😀Kisha tutakimbilia CAS baadae FIFA na kesi kuunguruma na dunia kusimama.
Kayoko vipi naye punguaniiyo mechi itakuwepo kama bodi ya ligi watajiuzuru na refa atoke nje achana na hawa mapunguani wa humu
Mimi sasa hivi kwakweli kwa jinsi simba anavyopendelewa hii derby ikalete kocha kutoka nje ya nchi, hata huyo arajiga sina imani naye, ni kama ccm kwenye uchaguzi huwezi kuwaamini lazima wakuibie kuraUngetamani achezeshe nani kwenye hiyo mechi?
1. Tatu Malogo
2. Japhet Smart
3. Kepha Kayombo
4. Shomary Lawi?
Natambua fika hamtafurahia mkisikia mwamuzi wa huo mchezo ni Ahmed Arajiga (mwamuzi bora kabisa nchini na pia Barani Afrika), au Ramadhan Kayoko!
Natamani kati awepo Kefa KayomboUngetamani achezeshe nani kwenye hiyo mechi?
1. Tatu Malogo
2. Japhet Smart
3. Kepha Kayombo
4. Shomary Lawi?
Natambua fika hamtafurahia mkisikia mwamuzi wa huo mchezo ni Ahmed Arajiga (mwamuzi bora kabisa nchini na pia Barani Afrika), au Ramadhan Kayoko!
Duh hii ndo mechi mtacheza na bodi ya ligiNatamani kati awepo Kefa Kayombo
Pembeni kulia 3 Malogo
Pembeni kushoto J Smart sana
Kamisaa Shomari Lawi
😎😎😎😎😎😎
Ubaya Ubwela🤸♂🤸♀🤸♂💃💪💪💪
#HATUCHEZI
Vipi tenaMimi sasa hivi kwakweli kwa jinsi simba anavyopendelewa hii derby ikalete kocha kutoka nje ya nchi, hata huyo arajiga sina imani naye, ni kama ccm kwenye uchaguzi huwezi kuwaamini lazima wakuibie kura
Nje ya wapi?iyo mechi itakuwepo kama bodi ya ligi watajiuzuru na refa atoke nje achana na hawa mapunguani wa humu