mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 1,364
- 2,396
Wajifunze kiingereza kwanzaKisha tutakukimbilia CAS baadae FIFA na kesi kuunguruma na dunia kusimama.
Ze elder manara endi Ze kikwete is big brain.Wajifunze kiingereza kwanza
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Na kisha Kamwe atazimia ghafla alafu Manara atamdidimiza dole la kati atazinduka.
Kuna jambo lilitokea siku ya kushinda goli 5 kwa 1. Na itahitimishwa ubaya ubwela siku ya derby. Kuna watu wataanguka kwa presha uwanja wa taifaAliewaza/kuja na slogan hii ni hatari sana
Angalia tena ratiba ya ligi halafu urudi tena ufanye upya mahesabu yakoKwa mwenendo wa ligi kuu ya benki ya nbc unavyoondelea bila shaka kila mmoja ameona , na anaweza kuona kuwa bingwa tayari anajulikana.
Ni hivi kabla ya derby simba atakuwa na point 78 na yanga atakuwa na point 79 hivyo mshindi ataamuliwa na mechi derby , ambayo pia mechi hiyo itaamuliwa na maamuzi mabaya ya Refa, ambapo atatoa penalt ya kujiangusha kwa mchezaji wa Simba , na Mpanzu atafunga penalt hiyo dhidi ya diara, ambapo simba atamaliza mechi na ushindi wa bao moja dhidi ya Yanga.
Na simba atachukua ubingwa kwa point 81 dhidi ya 79 kwa goli la penalt. Na refa wa mchezo huu anaweza kuwa kefa kayombo, na kauli yao ya ubaya ubwela kuhitimishwa hapa
Angalia tena ratiba ya ligi halafu urudi tena ufanye upya mahesabu yako
Yanga ina pwenti 70. Kabla ya derby ina mechi moja tu dhidi ya Namungo. Hizo pwenti 79 ulizosema za kabla ya derby itazitoa wapi? Vivo hivyo kwa Simba.
nimekuelewa, kumbe ratiba ilibadilikaYanga ina pwenti 70. Kabla ya derby ina mechi moja tu dhidi ya Namungo. Hizo pwenti 79 ulizosema za kabla ya derby itazitoa wapi? Vivo hivyo kwa Simba.