Kwa mwenendo wa Ligi Simba ni Bingwa NBC - Na refa ndo atatoa penalt za ushindi mechi ya derby

Unaongelea dabi ipi,😎😎😎😎😎

Tumekubaliana hatuchezi

Badala yetu sisi Utopolo wanacheza TPBL vs Simba
 
Sisi utopolo tunataka mechi zisichezeshwe na marefa... zichezeshwe na wachambuzi wa Wasafi
 
Mpanzu siku hiyo penalti yake atamfunga goalkeeper KARIA.
Diara na wachezaji wenzake wa Yanga na wanachama siku hiyo watakua na program tofauti nje ya Dar es Salaam.
 
Mpanzu siku hiyo penalti yake atamfunga goalkeeper KARIA.
Diara na wachezaji wenzake wa Yanga na wanachama siku hiyo watakua na program tofauti nje ya Dar es Salaam.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ungetamani achezeshe nani kwenye hiyo mechi?
1. Tatu Malogo
2. Japhet Smart
3. Kepha Kayombo
4. Shomary Lawi?

Natambua fika hamtafurahia mkisikia mwamuzi wa huo mchezo ni Ahmed Arajiga (mwamuzi bora kabisa nchini na pia Barani Afrika), au Ramadhan Kayoko!
 
Mimi sasa hivi kwakweli kwa jinsi simba anavyopendelewa hii derby ikalete kocha kutoka nje ya nchi, hata huyo arajiga sina imani naye, ni kama ccm kwenye uchaguzi huwezi kuwaamini lazima wakuibie kura
 
Natamani kati awepo Kefa Kayombo
Pembeni kulia 3 Malogo
Pembeni kushoto J Smart sana
Kamisaa Shomari Lawi
😎😎😎😎😎😎

Ubaya UbwelaπŸ€Έβ€β™‚πŸ€Έβ€β™€πŸ€Έβ€β™‚πŸ’ƒπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ

#HATUCHEZI
 
Duh hii ndo mechi mtacheza na bodi ya ligi
 
Mimi sasa hivi kwakweli kwa jinsi simba anavyopendelewa hii derby ikalete kocha kutoka nje ya nchi, hata huyo arajiga sina imani naye, ni kama ccm kwenye uchaguzi huwezi kuwaamini lazima wakuibie kura
Vipi tena

Mbona kama taratibu mmeanza kulainika.

Mnabadili gia angani.

Sisi tuna IMANI na TPBL

Wampange hata Eng Hersi Said akisaidiwa na Manara na Aly Kamwe kushika vibendera, kamisaa awe Gharib GSM tutapeleka timuπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‚πŸ’ͺπŸ€Έβ€β™€πŸ€Έβ€β™€πŸ€Έβ€β™‚
 
iyo mechi itakuwepo kama bodi ya ligi watajiuzuru na refa atoke nje achana na hawa mapunguani wa humu
Nje ya wapi?

Hakuna nje, mnahamishia ugomvi wenu kwa marefa tena badala ya Bodi.

Hivi ninyi Utopolo mbona hamuishiwi ujinga?😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…