Habari ndugu!!! Naitwa James patrick nina miaka 28 naishi mbezi beach africana..elimu yangu ni form four niliyomaliza 2019 mbagala sec school...baada ya kuhitimu masomo yangu sikufanikiwa kuendelea kwa sababu ya kifamilia,ilipofika 2014 nikajiunga na chuo cha udereva veta nikafanikiwa kupata cheti cha udereva pamoja na leseni halali..udereva ni fani niliyoipenda tokea nikiwa nikiwa mdogo sana na nimekuwa nikiona baba yangu akifanya hvyo ilinivutia sana...baada ya kuhitimu nikafanikiwa kufanya kazi kwenye makampuni mbali mbali pia na kuendesha watu binafsi,abiria pamoja na uber ambayo niliifanya kwa miaka mitatu na kunifanya nijue jiji lote la dar...
-nina uzoefu wa kuendesha gari ndani na nje ya mkoa wa dar kwa muda wa mwaka mmoja bila kusababisha ajali.
-kama nilivyogusia hapo juu nina uzoefu wa kuendesha wa uber kwa miaka mitatu hvyo naweza kusema nina uwezo wa kumuonyesha mtalii au mtu yeyote mwenye kuhitaji kufika sehem nzuri kwa ajili ya mapumziko jijini dar bila matatizo.
-nina uzoefu pia wa kuendesha abiria kwani nimefanya safari nyingi za nje ya dar kama dereva wa kukodiwa (special hire) na nimefika sehem mbalimbali na watu wamefurahia huduma yangu sana.
-NIPO TAYALI KUFANYA KAZI MKOA WOWOTE ULE BILA TATIZO NA NIPO TAYALI KWA KUTOA HUDUMA YA>
*KUENDESHA MTU BINAFSI.
*DEREVA WA KAMPUNI.
*DEREVA WA GARI KUBWA N.K.
KWA MAWASILIANO NAMBA YANGU NI 0622241450 AU EMAIL NI
JPMKWABI08@GMAIL.COM SHUKRANI SANA.