Kwa mwenye Mtaji wa Mil.3 aje nimpe idea

Kwa mwenye Mtaji wa Mil.3 aje nimpe idea

Ukishakuwa mfanyabiashara huwa sioni mantiki ya kuficha identity yako hapa jf
Social Network watu hujiunga kwa malengo aina mbili

1.Kutangaza bidhaa zao wafanyabiashara
2.Matumizi binafsi

Comment yako imeongelea kundi no.1 ya watu waliojiunga JF,na kwa kundi hilo no.1 nakubaliana na wewe upo sahihi.

lakini kwa comment hiyo hiyo hauko sawa kama utaitumia kwa watu kundi no.2 ambalo binafsi nipo kundi hilo.
 
Utamanishaji wa kishamba huo WAJINGA NDIO WALI WAO
inawezekanaje mtu mzima,una akili timamu,shule umeenda,umeona watu wakiibiwa,wakidanganywa umeyashuhudia yote hayo.

na bado ukaendelea kusema unatamani na kuingia kwenye mtego kama huu unaoita wa kishamba?

Hela ni yako tena ulipoiweka unajua mwenyewe iweje hasa mpka unashawishika kwenda kuitoa na kumpa mtu usiemjua kwa biashara ambayo hujaithibitisha ukweli wake?

Thibitisha Jambo lolote kabla hujalifanya, hata hii ambayo unaita ya kishamba hujaambiwa utoe hela yako unaweza isoma na kuiacha ipite waache washamba waibiwe,endelea kukaa zako ukitucheka washamba.

Lakini binafsi yangu siwezi kuibiwa na mtu mzima mwenzangu tena Mil.3 nzima huwezi nishawishi wala nidanganganya ukiona nimekubali wekeza 3m yangu kwako nimeshaangalia Loop holes zote nikajiridhisha nazo.

Umri nilio nao sio wa kupoteza hata shilingi katika biashara,yani naanzishaje biashara ambayo nitapoteza? Usiite mtu mshamba kabla hujachunguza na kuijua NIA yake.

Sio kila mtu anashawishi watu walime Matikiti au Wafuge Kuchi....
 
mimi sio sales manager mkuu,naifanya hiyo biashara na kabla mtu hajaweka hela yake nitampa location ya wapi ofisi yangu ilipo aje ajionee kwa vitendo ninachofanya kisha ataenda kujifikiria mwenyewe.

Trust me mkuu,najua hela ilivyo ngumu siwezi ingiza mtu chakike.

Kama mtu ana mashaka nipo radhi kukopa hiyo 3m kwa riba ya 1m ndani ya miezi miwili mtu anipe mimi hiyo 3m halafu rejesho ntamrudshia ndani ya miezi miwili ntampa 4m.

Maandishi na kila kitu yatafanyika hata mahakamani au popote ila sikutaka kukopa mtu pesa maana ndio kabisa ningetia watu mashaka,Nimetoa fursa hiyo.
Ninachojiuliza ni kwanini hata umeshindwa kukopa 3m then ufanye hiyo biashara kama kweli unaiamini! Mbongo akikupa fursa ujue wewe ndo fursa!
 
Huenda jamaa ana kitu asikilizwe sio Kila kitu mnaona mnataka KUPIGWA.

Nlishakuja kutaka kiasi flani hapa wengine waliponda na kuona kama ni scam.

Ila nilifanikisha na ndio ikawa tobo langu.hadi Leo MTAANI naonekana kama mchawi kwa umri WAngu na mjengo nnao miliki.
 
Nyamaza mkuu,ukisema sana utaambiwa ni ID yangu nyingine.Kuna watu nimeshawaelezea PM kama wakiamua fanya watakuja toa mrejesho HAPA HAPA uzuri huu uzi utadumu hapa milele kama ni utapeli alietapeliwa atarudi hapa hapa kutoa mrejesho.
 
mimi sio sales manager mkuu,naifanya hiyo biashara na kabla mtu hajaweka hela yake nitampa location ya wapi ofisi yangu ilipo aje ajionee kwa vitendo ninachofanya kisha ataenda kujifikiria mwenyewe.

Trust me mkuu,najua hela ilivyo ngumu siwezi ingiza mtu chakike.

Kama mtu ana mashaka nipo radhi kukopa hiyo 3m kwa riba ya 1m ndani ya miezi miwili mtu anipe mimi hiyo 3m halafu rejesho ntamrudshia ndani ya miezi miwili ntampa 4m.

Maandishi na kila kitu yatafanyika hata mahakamani au popote ila sikutaka kukopa mtu pesa maana ndio kabisa ningetia watu mashaka,Nimetoa fursa hiyo.
Huu ni utapeli.
 
Nyamaza mkuu,ukisema sana utaambiwa ni ID yangu nyingine.Kuna watu nimeshawaelezea PM kama wakiamua fanya watakuja toa mrejesho HAPA HAPA uzuri huu uzi utadumu hapa milele kama ni utapeli alietapeliwa atarudi hapa hapa kutoa mrejesho.
Mwaga hapa hayo mawazo yako ya biashara
 
Shida watu wamepigwa sana hadi inafikia wanakuwa hawana imani tena na haya mambo kitu ambacho sometimes kinawafanya wanapishana na fursa
 
Wala sijaona hasira yake , tatizo watoto mmejaa humu JF kazi yenu kuwalisha watu maneno. Mnaudhi sana
Acha shobo nimeandika mbona kama inamaana zinaweza ziwepo au zisiwepo. Ww mtu mzima wa jf umefaidika nn mpka sasa huoni aibu upo kwenye kundi la watoto au nyie ndio wale watuwazima hivyo. Balance shobo mjini jf
 
lengo/dhumuni/nia/sababu ya kuweka hii ni kunisaidia kupata mke au kuna lingine?

Kama mke yupo niunganishe nae maana kweli nahitaji mke bado.

Vigezo ni hivyo hivyo tena niko very strictly kwenye hilo eneo.

Karibu tena kwa maswali zaidi na upembuzi yakinifu.
 
Unapokuja PM behave,Jiheshimu,adabu iwepo, Mtu anakuja hana salamu hana nini as tunajuana...

Ukikaribishwa chakula kwa watu kuwa na hekima na busara anza kunawa Mikono kwanza.

Vigezo na masharti kuzingatiwa, Sihitaji wahuni na watu wasiojitambua.
 
Mtu akiamua kufanya biashara endelevu atakua anapata 4,000*2 = 8,000 kwa siku

Kwa maana ni Tsh 240,000 kwa mwezi.

Sasa akitoa garama na muda wa usimamizi inabaki kiasi gani apo?

Na Mathalani akaifanya kwa miezi 12, atapata faida ya Tsh 2,880,000/=

Hii biashara kwa mwaka haiweza kukuza mtaji ukawa marambili yake kwa kijana asie na chanzo cha kipato kingine.
 
Back
Top Bottom