Kwa mwenye ratiba ya kuoa nipo hapa pia nina ratiba ya kuolewa

Sifa zangu ni mwanamke mwenye umri miaka 26, sijawai kuolewa sina mtoto, elimu yangu form4 na dini mkristu kazi nimejiajiri na ujasiriamali mpaka, sifa za mwanaume umri. Miaka27-35 rangi maji ya kunde kwakua najisikia rahaa nikigusa ngozi hiyo mjasiriamali mkristo mengine mwenye nia pm
Hatuoi form four tunataka mwenye PhD
 
Nina miaka 37 na ni mweusi sana ,vip nitakufaa..
 
Sifa zangu ni mwanamke mwenye umri miaka 26, sijawai kuolewa sina mtoto, elimu yangu form4 na dini mkristu kazi nimejiajiri na ujasiriamali mpaka, sifa za mwanaume umri. Miaka27-35 rangi maji ya kunde kwakua najisikia rahaa nikigusa ngozi hiyo mjasiriamali mkristo mengine mwenye nia pm
Naomba ufafanue maji ya kunde ni rangi ipi kwa in accondance with you, please, maana mimi hapa nikiwa kwetu Ushirombo naitwa "maji ya kunde", nikienda Mbeya naitwa "cheupe", nikienda Karatu wanienda "mweusi"
weka clear kabla sijaja pm kwani nimekupenda ghafla na nimependa tuoane ndani ya miezi 6 hadi 13.
 
Makonde hauko siriaz na unachokiandika kwani nimeshindwa kuelewa una thread kama hii pia ina maana hukupata au kwa nn usiuendeleze huo ili kuweka mambo sawa na kujaza server tu za jamii forum
 
Sifa zangu ni mwanamke mwenye umri miaka 26, sijawai kuolewa sina mtoto, elimu yangu form4 na dini mkristu kazi nimejiajiri na ujasiriamali mpaka, sifa za mwanaume umri. Miaka27-35 rangi maji ya kunde kwakua najisikia rahaa nikigusa ngozi hiyo mjasiriamali mkristo mengine mwenye nia pm.
Ratiba ya kuolewa ni kama kusubiri basi stend ...lisipokuja au likija limejaaa ndo bas tena husafiri any way kila heri lakin m huwa nawashangaa mnaoangalia rangi utadhani hio rangi italeta ugali nyumbani
 
Sifa zangu ni mwanamke mwenye umri miaka 26, sijawai kuolewa sina mtoto, elimu yangu form4 na dini mkristu kazi nimejiajiri na ujasiriamali mpaka, sifa za mwanaume umri. Miaka27-35 rangi maji ya kunde kwakua najisikia rahaa nikigusa ngozi hiyo mjasiriamali mkristo mengine mwenye nia pm.
Hiyo ratiba ninayo, hebu naomba tuwasiliane kwa nambari hii 0759947397 ila tu uwe serious, na kama Una entertain, wala usjaribu kabisa kunitafuta
 
Sifa zangu ni mwanamke mwenye umri miaka 26, sijawai kuolewa sina mtoto, elimu yangu form4 na dini mkristu kazi nimejiajiri na ujasiriamali mpaka, sifa za mwanaume umri. Miaka27-35 rangi maji ya kunde kwakua najisikia rahaa nikigusa ngozi hiyo mjasiriamali mkristo mengine mwenye nia pm.
Zama zinabadilika sana mda si mrefu watatoa na kauli za wao kulipa mahali japo mpka sasa wapo wanaowalipia mahali waume zao ni baada ya kuona wanaume wamekuwa kimya swala la kuowa kwao halipo kichwani mwao ila ni jambo zuri tukiendelea hivi itakuwa kama nchi ya India MABADILIKO
 
Back
Top Bottom