Kwa mwenye ratiba ya kuoa nipo hapa pia nina ratiba ya kuolewa

''In that day seven women will take hold of one man and say we will eat our own food and provide our own clothes only let us be called by your name. Take away our disgrace''
 
Hatuoi form four tunataka mwenye PhD
 
Nina miaka 37 na ni mweusi sana ,vip nitakufaa..
 
Naomba ufafanue maji ya kunde ni rangi ipi kwa in accondance with you, please, maana mimi hapa nikiwa kwetu Ushirombo naitwa "maji ya kunde", nikienda Mbeya naitwa "cheupe", nikienda Karatu wanienda "mweusi"
weka clear kabla sijaja pm kwani nimekupenda ghafla na nimependa tuoane ndani ya miezi 6 hadi 13.
 
Makonde hauko siriaz na unachokiandika kwani nimeshindwa kuelewa una thread kama hii pia ina maana hukupata au kwa nn usiuendeleze huo ili kuweka mambo sawa na kujaza server tu za jamii forum
 
Ratiba ya kuolewa ni kama kusubiri basi stend ...lisipokuja au likija limejaaa ndo bas tena husafiri any way kila heri lakin m huwa nawashangaa mnaoangalia rangi utadhani hio rangi italeta ugali nyumbani
 
Hiyo ratiba ninayo, hebu naomba tuwasiliane kwa nambari hii 0759947397 ila tu uwe serious, na kama Una entertain, wala usjaribu kabisa kunitafuta
 
Zama zinabadilika sana mda si mrefu watatoa na kauli za wao kulipa mahali japo mpka sasa wapo wanaowalipia mahali waume zao ni baada ya kuona wanaume wamekuwa kimya swala la kuowa kwao halipo kichwani mwao ila ni jambo zuri tukiendelea hivi itakuwa kama nchi ya India MABADILIKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…