Kwa mwenye ratiba ya kuoa nipo hapa pia nina ratiba ya kuolewa

Kwa mwenye ratiba ya kuoa nipo hapa pia nina ratiba ya kuolewa

Sifa zangu ni mwanamke mwenye umri miaka 26, sijawai kuolewa sina mtoto, elimu yangu form4 na dini mkristu kazi nimejiajiri na ujasiriamali mpaka, sifa za mwanaume umri. Miaka27-35 rangi maji ya kunde kwakua najisikia rahaa nikigusa ngozi hiyo mjasiriamali mkristo mengine mwenye nia pm.
Pm mama
 
Mi nataka kutest ubora wa engine..vp nichek pm
 
Weka na kapicha kako t ukuone kabisa maana saivi ni sura na shepu tabia tutavumiliana tu
 
Back
Top Bottom