Kwa mwenye tetesi kuhusu matokeo kidato cha nne 2013 yanatoka lini naomba anijuze.

Status
Not open for further replies.
Mimi tetesi nilizonazo ni kwamba tetesi zoooooote zilizozagaa kuhusu matokeo ni mchecheto ila siku ikifika hakutakuwa na tetesi mzigo utakuwa hadharani!
 
mbona yametangazwa leo TBC mchana yatakua kwenye net yasifikiwe na mbu
 
Suala la kusema yanatoka lini usidanganywe ndugu yangu hakuna anaejua hiyo ni siri ya necta wenyewe na huwa haivuji hata kidogo. ila itakumbukwa kuwa hapo mwanzo yalikuwa yakitoka mwishini mwenzi wa1 au mwanzoni mwa mwezi wa pili kwa kuwa mtihani ulikuwa ukifanyika mwezi wa 10. Lakini ulisogezwa mbele mwezi mmoja hivyo tutarajie mwanzoni mwa mwezi wa tatu. HUENDA ikawa ila hakuna ajuaye
 

we angalau umesema sio hawa wengine kudanganyana yatatoka ln,utadhan wao ndio mawazir au ndo baraza la elimu! hawana hata haya!!!
 
sasa serikali iko bize na bunge la katiba kwaiyo subirini baada ya izo siku 70 za bunge la katiba matokeo yatatoka
 
Tarehe ya uhakika ni 30th February na mda ni around 2:00PM Mkitaka kuamini sawa kama hamtaki freshi...
 
Kingbrahomovich we una undugu na yule alosema TZ inatokana na visiwa vya Zimzim?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…