venossah JF-Expert Member Joined Apr 30, 2016 Posts 2,583 Reaction score 3,684 Jun 13, 2023 #1 Habari za wakat huu wakuu Kwa mwenye uelewa juu ya kozi hizo hapo juu Kwanza zinahusiana na nini hasa Pili ipi ni bora zaidi ya ingine Tatu upande wa kujiajiri ukoje Nne vyuo vinavyotoa kozi hizo zaidi ya DIT ni wapi kwingine? Natanguliza shukran
Habari za wakat huu wakuu Kwa mwenye uelewa juu ya kozi hizo hapo juu Kwanza zinahusiana na nini hasa Pili ipi ni bora zaidi ya ingine Tatu upande wa kujiajiri ukoje Nne vyuo vinavyotoa kozi hizo zaidi ya DIT ni wapi kwingine? Natanguliza shukran